Ukioa mwanamke mwanaharakati utaishi kwa machungu sana kwenye ndoa

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Salamu zenu wakuu Wana JF,

Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa nao ni wapambanaji.

Mfano si mnaona mdada maarufu hapa mjini mama ntilie ndoa zinamshinda kwa harakati zake za kutaka kuwa juu ya mwanaume.

Wanawake wakikaa kwenye vikao vyao Kama malkia wanguvu, nguvu ya mwanamke na nk wanajadili jinsi ya kuwa juu ya mwanaume eti nao Wana haki zao,wanataka 50/50. Hawana hoja za maana, mbele za tv wanapeana tuzo ili tuwaone wapambanaji. Muoe Sasa utaona cha moto

Tabia za mwanamke mwanaharakati

* Wanataka haki sawa 50/50 Ila majukumu ya familia wanakimbia wanamuachia mwanaume,ni wapuuzi Sana baadhi yao ule upambanaji wao ni maneno tu na kununua vitu visivyo na msaada kwa familia.

* Wana tabia ya kuondoka au kwenda sehemu yeyote bila kumuaga mume wake akiamini anaishi kwenye kile anachokiamini haki sawa,Kuna video imesambaa Sana Instagram, facebook.jf ipo pia mwanamke ana jinadi ana haki ya kuondoka tu nyumbani bila kuaga anatoa tu taarifa na sio kumuaga mume wake ni upumbavu.

* Wanamke akishamiliki Mali zake mfano duka,nk anakuwa ana heshima kwa mume wake kisa ana weza kujisamia mwenyewe bila uwepo wa mume hapo lazima ndoa isiwe na amani, mwanamke mwanaharakati ataonesha kila aina ya dharau kwa mwanaume.

* Mwanamke mwanaharakati sio mama Bora kwenye familia kutwa nzima yupo kwenye matembezi anawatembelea wanawake wezao waliofanikiwa,wakifundishana jinsi ya kuwa juu kwa mwanaume,Wana msemo wao eti na sisi tunaweza, poor women.

* Wanawake wengine ni wafuata upepo wanasikiliza maneno ya wanawake waliofanikiwa,wanawake wengi waliofanikiwa hawapo kwenye ndoa either mjane au single mothers ndoa ilimshinda sababu ya harakati zake za haki sawa

Ndoa nyingi zenye wanawake Wana harakati hazidumu kila mwaka zinavunjika.

wanaume wanaoishi kwenye Ndoa na wanawake Wana harakati wanapitia mateso na dharau Sana, nimeshuhudia kwa macho yangu.

Mwanamke ata afanye Nini lazima ajishushe kwenye Ndoa sababu kichwa cha familia ni mwanaume.

Naomba kuwasilishaa 🙏
 
Salamu zenu wakuu Wana JF,

Mwanaume fanya yote Ila usije ukaoa mwanamke mwanaharakati eti wanatetea haki zao kwenye Ndoa eti nao ni wapambanaji.

Kuna clip moja inasambaa
 
FB_IMG_16801850289367069.jpg
 
Shida sio wanawake, shida ni wanaume kutojua nafasi zao.
 
Hawa wanaharakati ndio wanaotuharibia maadili yetu ya ndoa. Kama wao ni wasomi na hawana mpango wa kuolewa wakae hivyo hivyo wasijiingize kwenye mahusiano ya kimapenzi kama watawa wasije wakazaa watoto wasio na maadili. Hawa wanaharakati ndiyo chanzo kikuu cha ushoga na usagaji.
 
Shida sio wanawake, shida ni wanaume kutojua nafasi zao.
Kuna wanawake ni jeuri tu naturally,hata mwanaume usimamie vipi majukumu.

Kigezo siyo swala la kufanya au kutofanya kazi au kusimamia majukumu kisawasawa.

Unaweza kuwa na Mwanamke wa Nyumbani ila kutwa yupo bize na matamthilia Azam TV kila anachokiona anakimeza hasa u-feminism unaofanywa na character wa hizo tamthiliya na hatimaye huja kuapply kwako/ndani ya nyumba.

Kuna wanawake wengi Sana wanafanya kazi na ndani ya ndoa mambo yanaenda vizuri Sana.
 
Kuna wanawake ni jeuri tu naturally,hata mwanaume usimamie vipi majukumu.

Kigezo siyo swala la kufanya au kutofanya kazi au kusimamia majukumu kisawasawa.

Unaweza kuwa na Mwanamke wa Nyumbani ila kutwa yupo bize na matamthilia Azam TV kila anachokiona anakimeza hasa u-feminism unaofanywa na character wa hizo tamthiliya na hatimaye huja kuapply kwako/ndani ya nyumba.

Kuoa mwanamke jeuri sio kosa la mwanamke, ni kosa la mwanaume kutojitambua
 
Mi wangu tangu afungue DUKA AISEH KAZI Sana!

Anajiona Anaweza kujimaliza mwenyewe!

Hadi natamani niwashe moto DUKA abaki mama wa NYUMBANI kama zamani!
Usiwashe moto
Mpe mahaba makuu ndani ya miezi miwili alafu mpe proposal ya kuliboresha duka then mwambie akupe hela ili uanze kuifanyia kazi ile proposal

Akishakupa tu hela jifanye umepata tatizo either umepata ajari au umekamatwa na polisi au umevamiwa na vibaka na hela ikapotelea huko
 
Back
Top Bottom