makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sio mmachame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona jazba mkuu hatujaongelea makabira tumewapa maua yao wanawake wa kichaga.Nchi...hii inamakabila mengi na ndoa zinafungwa kila siku.... sio wachaga tu ndo wanao olewa.
Acheni kuleta ukabila kwenye mambo ya ndoa.
Kuoa mchaga au mnyaturu ni hulka na mapenzi ya mtu
wape promo dada zako washamba tuone nao wanafikia wapi kuna watu wakisikia wachaga tumbo linavurugikaWana u special gani? Naona saiz mnakuja kwa kasi kuwapigia promo.dada zenu baada ya kuwa mmeona hawana soko.
Tuko nao mtaani huku wengine ni bar maids, na wengine ni beki tatu wengine si single mothers baada ya kuwa wamekosa waume
Wote nimepita nao kidogo mchaga Ila wanawake wa kikinga wana uvivu fulani kwenye kupambana wanategemea zaidi wanaume, wanawake wa kichaga ni wapambanaji haswa wanapiga mishe mpaka usiku usiku wa mananeMy friend.........
Tafuta mkinga, alafu thank me later
Endelea kufanya tafiti zako vizuriWana u special gani? Naona saiz mnakuja kwa kasi kuwapigia promo.dada zenu baada ya kuwa mmeona hawana soko.
Tuko nao mtaani huku wengine ni bar maids, na wengine ni beki tatu wengine si single mothers baada ya kuwa wamekosa waume
Umepanic NgoshaMmeanza tena...siku hiz wachagga mna sifa sana wahaya wakasome...
Tena nyinyi ni za kijinga na kishamba
Huku mjini vijana wengi 20s hadi 30s mashoga ni wachagga...kiongozi mkuu ni noeli Mushi na wenzao wakina kinyaia, saydavito yule mdogo wale Tunda nk nk list ni ndefu sana....sijui vijana wa kichaga wamekumbwa na nini siku hiz...ni madhara ya kulelewa na masingle mother wale wanaochwa moshi au ni nini haswa? Na mbaya zaidi wachagga wanaioverlook ili tatizo kwa sababu ya EGO lakini ushoga ukichaingia katika koo unaanza kucirculate humo humo...Wanawake wa kichaga hawajawahi kubadilika miaka nenda miaka rudi... mama akiwa mchaga lazima nidhamu iwepo kwenye familia.... watata hatari
Mfano kwa sisi machalii wa Arachuga ambao kwa ukubwa kuna jamii za
- Wachaga
- Warangi
- Wapare
- Waarusha
- Wameru
Ukiangalia kwa kiasi kikubwa na kuchunguza, ni nadra sana kukutana na wahuni machalii wa Arusha ambao ni wachaga, na hii ni credit kwa mama zetu wa kichaga.
Machalii wote wa Arusha wana same background ila kilichowazamisha wengi ni kulelewa kwenye familia za wazazi ambao hawana ukali kwenye malezi na hii utaikuta sana kwa familia kutoka kwenye makabila ya warangi, waarusha, wameru.
Ndo maana ni muhimu sana kuangalia una muoa nani na kabila gani.
Na wamama wakichaga wamewekeza sana kwenye maendeleo ya watoto wao, hususani elimu na maadili, ndo maana imekuwa ngumu watoto wengi wa kichaga kuharibikiwa... na hapa nazungumzia kwa upande wa Arusha..
Mkuu wambulu unawasikia au unawafahamu... Kama hujaishi kaskazini hii jamii hutaweza kuifahanu.....haya mambo sijawahi kuyaelewa, yaani kwasababu wewe umeoa mchaga na ndoa yako imetulia basi wanawake wote wa kichaga ni wazuri....
ni ukabila tu
nilishangaa sana siku moja niko na babamkubwa akaniambia eti nisije kuoa wambulu eti kisa ni 'malaya'.... tusipende kujumuisha mambo kulingana na uzoefu binafsi, dunia haina mpangilio.... sio kivile
Utatangulia mbele za haki siku si zakoMy friend.........
Tafuta mkinga, alafu thank me later
Sio mmachame
NashukuruWala mrombo
Nani kakudanganya? Mnadanganyana sana mbona wapo wengi wameolewa na maboda boda rombo huko na tarakea, au unaongelea wachaga wapi labda sijakuelewaSema na ww kama sio mchaga kumpata mwanamke wakichaga lazima uwe na kitu, ukiwa boyaboya huwezi oa mchaga!