Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kuna watu bado wanajazana kwa ndugu zao???
Tupo unataka kusemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu bado wanajazana kwa ndugu zao???
Vipi wapare nao si mulele kama kina manka? maana Kuna mmoja dah!
Nipe sifa zao wadada wa ugwenoWapare tupo hapa. Unasemaje?
NakaziaKila mtu na aoe yule ampendaye sio kupangiwa na watu
.
Watu wameoa warangi na wametembea kifua mbele....
USITUPANGIE
Nipe sifa zao wadada wa ugweno
Sasa combination ya mchaga na mpare ikoje ,1. Wanawake wote ni sawa, ila kinachowatofautisha ni Makuzi, mila na desturi.
2. Wanawake wa kipare hawako mbali na wanawake wa kichaga. Au jamii za Kilimanjaro na Arusha.
3. Wanapenda Haki sawa na hawapendi kuonewa. Jambo hili kwa kiafrika huonekana wanakiburi.
4. Wanachapa kazi kwa sababu hujiona wao na wanaume ni sawa tofauti ipo kwenye jinsia tuu.
5. Kusomesha watoto ni jambo ambalo hukazana nalo pasipo kumtegemea Mwanaume.
Ukiachana na Mwanamke wa kipare suala la matumizi anaweza asikuhusishe. Ila jiandae mtoto kuwa wa ukoo wa kiukeni.
6. Ndugu upande wa Mwanamke, mjomba wananguvu kwa sababu wapare hutumia ile falsafa ya Mtoto wa Dada ni mtoto wako kwani ndio wanauhakika naye. Kanuni hiyo pia hutumika kwa Wayahudi.
7. Wanatabia ya Bajeti Kali, jambo linalowafanya waonekane Wachoyo lakini ni kwa sababu kila pesa ipo kwenye mahesabu.
Sasa mgeni kuja pasipo taarifa huibua tafrani.
8. Kama ni mwanaume legelege wanaweza kukusumbua kwani wanajiamini ambapo hakupo mbali na jeuri na kiburi.
Mchaga akioa mkinga mambo yake yanakua boom [emoji95]Pamoja me ni mchaga ila sijawahi elewa pisi za kichaga na ni ndoa chache unakuta wameoana wao kwa wao mana sisi tuna tunisha misuli tukikutana.
Hakuna anayemkubali mwenzake na vile men kwa mapenz ni 0 bc dah ...
Kuna wakinga mkuu na wahehe umesahau kwa list nawakubal sana.
Sasa combination ya mchaga na mpare ikoje ,
Umegundua sababu ni nin?Lazima iende. Wachagga na wapare wanaoana vizuri, ila kwa siku hizi mchaga kwa mchaga ndio imekuwa Kimbembe.
Wadada wengi wa kichaga hawapendelei kuolewa na Wachagga wenzao.
Nazungumzia hawa Wachagga waliochangamana na jamii zingine
Huo ndio ukweliHuku kwetu mbeya ...ukioa mchaga then una kibunda ndugu wanaanza kujitenga + kukuhesabia siku za kuishi
Coz wanajua hutoboi siku nyingi before kwenda ahera madukani
Huwajui wachaga wewe, usiombe hata kidogo mwanamke wa kichaga anahamishia ukoo wote, baadhi ndugu watakuja mchana tu au ukisafiri, nawapenda wachaga ila ni wabinafsi na wabaguzi sana, na hawana upendo kwa wasio wachaga akiolewa na kabila jingine ujue kafuata fursa tu sio upendo, mchaga utamuona mtu ukiwa unaanza na nae na mkiwa mnajitafuta.i hope wazima wana jamii forum
hivi kuna siri gani na nguvu ipi kwa wanawake wakichaga. kwanza ni wazuri wanajua kutafuta na washauri wazuri kwenye familia, na ni walezi wazuri kwa familia ukitaka familia yako iwe smart muoe mwanamke wa kichaga.
familia nyingi za kichaga zimejijenga vizuri kiuchumi utakapo muoa mwanamke wa kichaga yale mambo ya ndugu wa mwanamke kujaa kwako hayatakuwepo..kila mtu yupo na familia yake kutembeleana ni mwisho wa mwaka mwezi 12
Bro ukitaka kuheshimika mtaani muoe mwanamke kichaga mtaa mzima utatembea kifua mbele utapokea sifa za kila aina.Usiseme sijakwambia
Ukiwa fala uwezi kuoa mwanamke wa kichaga utampa nini au unataka kuleta laana za umasikini kwenye ukoo wao....
Acheni kuoa hao wacheza baikoko wapenda starehe mwanamke ana ata malengo
wanawake wa kichaga muwe na uck mwema nyie wengine lolote liwakute😁
NomaKumbe watanzania na nyie mnaendekeza ukabila kiasi hiki[emoji848]
Yaaah mkuu....ukioa mchaga kadri unavyozidi kutajiri ndivyo lifespan Yako Ina declineHuo ndio ukweli
Mapenzi hakuna.Umegundua sababu ni nin?
Kwahiyo mtu akisali ndio anakuwa sio malayaHaya mambo hayana kanuni,ni Mungu tu kukupa,...wakati nakua nilisikia wanazungumza makabila 2 sio ya kuoa,vigezo
1.Kabila 1 malaya
2.Kabila 2 wanaua wanaume
Wakati nakua akili ikawa imejengeka hivyo...wakati wa kuoa umefika,..mchumba wa kwanza huyo waliyesema anaua wanaume,japo hatukufika malengo..wa pili ni huyo waliyesema kabila ni malaya sana,..cha ajabu binti mcha Mungu,msomi na katulia+upendo wa kutosha..nikajifunza tokea pale,...muombe Mungu akupe aliye mwema.
[emoji383][emoji383] nomaMapenzi hakuna.
Kipaombele ni kazi.
Mapenzi+ mapenzi = Anguko
Kazi+ kazi = Anguko.
Kazi + Mapenzi = Maisha.