Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ulamwihe[emoji23]Ya mwenda zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulamwihe[emoji23]Ya mwenda zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulamwihe[emoji23]
Wakinga wote mbinguni[emoji23]Nitapata tabu na hili neno mbona [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakinga wote mbinguni[emoji23]
Mlikiwa kama hampo zamani, Ila kwa sasa nchi nzima yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuimba mapambio
Japo Mimi ni mchagga ila cjapenda ujumbe wako. Mwanamke mwema hutoka kwa Bwana aisee. Ukitaka kuoa we muombe Mungu hakika utampata yule wako. Hata kama unahisi una maisha ya dhambi we muombe Mungu tu utapewa haki ya kumuamini.i hope wazima wana Jamii forum
Hivi kuna siri gani na nguvu ipi kwa wanawake wakichaga. kwanza ni wazuri wanajua kutafuta na washauri wazuri kwenye familia, na ni walezi wazuri kwa familia ukitaka familia yako iwe smart muoe mwanamke wa kichaga.
Familia nyingi za kichaga zimejijenga vizuri kiuchumi utakapo muoa mwanamke wa kichaga yale mambo ya ndugu wa mwanamke kujaa kwako hayatakuwepo..kila mtu yupo na familia yake kutembeleana ni mwisho wa mwaka mwezi 12
Bro ukitaka kuheshimika mtaani muoe mwanamke kichaga mtaa mzima utatembea kifua mbele utapokea sifa za kila aina.Usiseme sijakwambia
Ukiwa fala uwezi kuoa mwanamke wa kichaga utampa nini au unataka kuleta laana za umasikini kwenye ukoo wao....
Acheni kuoa hao wacheza baikoko wapenda starehe mwanamke ana ata malengo
Wanawake wa kichaga muwe na uck mwema nyie wengine lolote liwakute😁
Mbona huwa mnafanya mambo kuwa magumu hivi.? Mambo sio magumu kiasi hicho.Sema na ww kama sio mchaga kumpata mwanamke wakichaga lazima uwe na kitu, ukiwa boyaboya huwezi oa mchaga!
wapenda starehe
Itabidi wachagga wawaachie wahaya misifa yao ya kijinga kumbeMmeanza tena...siku hiz wachagga mna sifa sana wahaya wakasome...
Tena nyinyi ni za kijinga na kishamba
Nyinyi sifa zenu ni za kijinga na ushamba ndani yake...Itabidi wachagga wawaachie wahaya misifa yao ya kijinga kumbe
UNAJUA SIKU HIZI MTU AKIMCHUKIA TU MTU FLANI KISA AMEONA LABDA ANAJIPENDA KWA KUVAA VIZURI AU ANA SURA NZURI PENGINE KASIFIWA NA DEMU WAKE AU KAMGONGEA DEMU WAKE BASI, JAMAA ANAANZA KUMTAFUTIA KASHFA KWAMBA NI SHOGA.Huku mjini vijana wengi 20s hadi 30s mashoga ni wachagga...kiongozi mkuu ni noeli Mushi na wenzao wakina kinyaia, saydavito yule mdogo wale Tunda nk nk list ni ndefu sana....sijui vijana wa kichaga wamekumbwa na nini siku hiz...ni madhara ya kulelewa na masingle mother wale wanaochwa moshi au ni nini haswa? Na mbaya zaidi wachagga wanaioverlook ili tatizo kwa sababu ya EGO lakini ushoga ukichaingia katika koo unaanza kucirculate humo humo...
Kama huamini tembelea mbezi beach...au piga stori vzr na vijana laini laini wauza simu makumbusho...utapata story zote na nakwambia utakuja kugundua jamii ya kichaga hasa ya vijana ndo imeharibika zaidi....
Baadhi ya vijana wa kichaga siku hiz
View attachment 2788739View attachment 2788740View attachment 2788741View attachment 2788742
Hivi yule yanki wa kisukuma aliyekulaga hela ya dada Mbuta yule mchaga wa Marangu kisha akamkimbia alikuwa fala?Ukiwa fala uwezi kuoa mwanamke wa kichaga utampa nini au unataka kuleta laana za umasikini kwenye ukoo wao....
HIYO ULIYOSEMA WANAWAKE WA MARANGU WANA HESHIMA KWENYE NDOA EBU RUDIA KUFANYA UTAFITI VIZURI, MAANA WACHAGA TULIOPO MOSHI SEHEMU AMBAYO TUNAJUA MWANAUME UKIOA HAUTAKUA NA SAUTI NI MARANGU.My friend, umegeneralise sana. Ukiwa nje ya KILIMANJARO unaona wachaga wote ni sawa lakini ndani ya mkoa wao wachaga wametofautiana sana. Wametofautiana tabia, mfumo wa maisha, uchumi, mpaka lugha zao. Hayo unayoyasema utayapata kwa baadhi ya wanawake wa kichaga wanaotoka marangu (heshima kwenye ndoa), kiuchumi utapata (Rombian na Chames girls).
Wachaga wapo kiukanda usikutane nao huko mujini ukaona wote nisawa. Unaweza usipate unachokitaka ukajuta.
Mkuu unatetea kuvaa hiv?UNAJUA SIKU HIZI MTU AKIMCHUKIA TU MTU FLANI KISA AMEONA LABDA ANAJIPENDA KWA KUVAA VIZURI AU ANA SURA NZURI PENGINE KASIFIWA NA DEMU WAKE AU KAMGONGEA DEMU WAKE BASI, JAMAA ANAANZA KUMTAFUTIA KASHFA KWAMBA NI SHOGA.
UKIFUATILIA VIZURI HIZI LIST AU MAJINA YA MASHOGA ASILIMIA KUBWA UTAKUTA TU NI BIFU TU NA KUAMUA KUCHAFUANA KAMA ILE LIST YA DUDUBAYA.
Muongoi hope wazima wana Jamii forum