Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

Mbona
Nchi...hii inamakabila mengi na ndoa zinafungwa kila siku.... sio wachaga tu ndo wanao olewa.

Acheni kuleta ukabila kwenye mambo ya ndoa.

Kuoa mchaga au mnyaturu ni hulka na mapenzi ya mtu
mbona jazba mkuu hatujaongelea makabira tumewapa maua yao wanawake wa kichaga.

na wewe unaweza kuwapa maua yao wanawake wa kwenu uko wanakolima miti au kanda ya ziwa uko.
 
Wana u special gani? Naona saiz mnakuja kwa kasi kuwapigia promo.dada zenu baada ya kuwa mmeona hawana soko.

Tuko nao mtaani huku wengine ni bar maids, na wengine ni beki tatu wengine si single mothers baada ya kuwa wamekosa waume
wape promo dada zako washamba tuone nao wanafikia wapi kuna watu wakisikia wachaga tumbo linavurugika
 
Huku mjini vijana wengi 20s hadi 30s mashoga ni wachagga...kiongozi mkuu ni noeli Mushi na wenzao wakina kinyaia, saydavito yule mdogo wale Tunda nk nk list ni ndefu sana....sijui vijana wa kichaga wamekumbwa na nini siku hiz...ni madhara ya kulelewa na masingle mother wale wanaochwa moshi au ni nini haswa? Na mbaya zaidi wachagga wanaioverlook ili tatizo kwa sababu ya EGO lakini ushoga ukichaingia katika koo unaanza kucirculate humo humo...

Kama huamini tembelea mbezi beach...au piga stori vzr na vijana laini laini wauza simu makumbusho...utapata story zote na nakwambia utakuja kugundua jamii ya kichaga hasa ya vijana ndo imeharibika zaidi....

Baadhi ya vijana wa kichaga siku hiz
View attachment 2788739View attachment 2788740View attachment 2788741View attachment 2788742
 
Mkuu wambulu unawasikia au unawafahamu... Kama hujaishi kaskazini hii jamii hutaweza kuifahanu.....

Sema wabarikiwe sana na huduma mzuri wazitoazo kwa wenye uhitaji nazo
 
Mwanamke hawezi kukuongezea heshima mtaani acha kujipa matumaini hewa mtaani utaheshimika kutokana na mchango wako chanya plus maokoto.


Mwanamke sio issue Zama hizi hata Kama ungekuwa umeoa Mfilipino.

Hawa mademu wabovu ambao wanachukia Mama zetu na ndugu zetu ndo wakuletee heshima mtaani WTF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…