Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

Familia nyingi za kichaga watoto wameharibika kwasababu ya ujeuri wa kutisha wa mama zao...
Wanakua confused na baba anabidi asiwe na option adivorce na kumuachia mama watoto
Hapo vita ya kugombania mali huanza...
Nakushauri usithubutu kuoa mchaga kabisa.....mtakua wanaume wawili ndani na akikushindwa ubabe,uchawi,Hila basi atakuwekea sumu na utakufa tu...hapo familia yote huaribika akiwemo na yeye mwenyewe
 
Japo Mimi ni mchagga ila cjapenda ujumbe wako. Mwanamke mwema hutoka kwa Bwana aisee. Ukitaka kuoa we muombe Mungu hakika utampata yule wako. Hata kama unahisi una maisha ya dhambi we muombe Mungu tu utapewa haki ya kumuamini.
 
Sema na ww kama sio mchaga kumpata mwanamke wakichaga lazima uwe na kitu, ukiwa boyaboya huwezi oa mchaga!
Mbona huwa mnafanya mambo kuwa magumu hivi.? Mambo sio magumu kiasi hicho.
 
Mwanaume kuamini kwamba mwanamke ndiye atakae kupa heshima mtaani na sehemu nyingine unazokuwa ni hulka za "umama", usiitafute heshima kwa bidii zako kisha uje kupewa na mwanamke.?


We oa kwasababu unampenda anakupenda, saidianeni, tengenezeni familia na future nzuri kama mtaishi pamoja kwa muda mrefu.


Heshima haupewi, inatafutwa.
 
Itabidi wachagga wawaachie wahaya misifa yao ya kijinga kumbe
Nyinyi sifa zenu ni za kijinga na ushamba ndani yake...

Mhaya hujisifia ukweli na kitu alichonacho ndo maana wanachukiwa..
Ni tamaduni tu maana wahaya wana hadi ngoma fulani mtu anaingia kati anajigamba hadi makofi anapigiwa...ila sio uongo
 
Subiri wafike miaka 50 na kuendelea ndio utawajua,maana hapa watoto wameshakua wakubwa,hapa mnakuwa mmebakia wenyewe na vimali vyenu mlivyochuma ujanani...
 
UNAJUA SIKU HIZI MTU AKIMCHUKIA TU MTU FLANI KISA AMEONA LABDA ANAJIPENDA KWA KUVAA VIZURI AU ANA SURA NZURI PENGINE KASIFIWA NA DEMU WAKE AU KAMGONGEA DEMU WAKE BASI, JAMAA ANAANZA KUMTAFUTIA KASHFA KWAMBA NI SHOGA.
UKIFUATILIA VIZURI HIZI LIST AU MAJINA YA MASHOGA ASILIMIA KUBWA UTAKUTA TU NI BIFU TU NA KUAMUA KUCHAFUANA KAMA ILE LIST YA DUDUBAYA.
 
HIYO ULIYOSEMA WANAWAKE WA MARANGU WANA HESHIMA KWENYE NDOA EBU RUDIA KUFANYA UTAFITI VIZURI, MAANA WACHAGA TULIOPO MOSHI SEHEMU AMBAYO TUNAJUA MWANAUME UKIOA HAUTAKUA NA SAUTI NI MARANGU.
KAMA WEWE ULIOA HUKO UKABAHATIKA KUMPATA MWENYE HESHIMA KWENYE NDOA BASI MSHUKURU SANA MUNGU. BORA HATA UNGENITAJIA WANAWAKE WA ROMBO.
 
Mkuu unatetea kuvaa hiv?

Mtu hawezi from no where akakuita tu mchele

Wew unaweza kuvaa hiv kama mwanaume?
 
Muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…