Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Shukrani kakaKiasi kidogo sana, kijiko kimoja ndoo ya lita 20 tosha kabisa.. Hakuna formula ila kwa mwezi wa kwanza tumia daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kakaKiasi kidogo sana, kijiko kimoja ndoo ya lita 20 tosha kabisa.. Hakuna formula ila kwa mwezi wa kwanza tumia daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa sana
Mimi naitumia pia broh..... Iko fresh kabisaaHuu uzi bila comment ya Mshana Jr ni batili
Yesu kweli alichanganywa mchanga na mate, mate yake yakiwa ya kiungu ila kumbuka mwanadamu aliumbwa kwa udongo, so macho ya yule kipofu yalibidi yaumbwe upya kutokana na tatizo alilo nalo.unaongea vitu gani mzee Yesu mwenyewe alichanganya mchanga na mate akampaka kipofu akaona
Ni uchaguzi pia [emoji23]Chumvi nitakula na kuogelea tu baharini
Jinga hili kaka, linatafuta pa kuondolea stress zake
Nimejikuta nacheka hii commentMpaka siku mkikaa sawa ndiyo utajua Allah aliwadanganya na ahadi ya mabikra 72.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Hapo mpo wanaume wa kiislamu 10 na kila mmoja ana mabikra 72. Huko peponi panakuwa danguro maana ni sauti za watu zinasikika wakifanya ngono.
Tutaacha kumwabudu Muumbaji, tunaabudu alivyoumba.Ewe chumvi uliyeumbwa toka asilia ya dunia ilipoanza, kama utunzapo vitu....itunze nyota yangu...,., kama utakasapo vitu....takasa mwili na nyota yangu....nuia kwa kumaanisha.
Ogea kabisa, ndio njia bora zaidiMshana Jr Samahani brother , na wanaosema kuwa ukiiweka kwenye glass ya maji , ukaiweka chini ya kitanda ! ndoto za ajabu mtu utaacha kuota ? na wale watu wa usiku watshindwa kukutembelea ?.
Yesu, manabii walituamia mate, matope kufanya miujiza itakuwa chumvi mawe???Tutaacha kumwabudu Muumbaji, tunaabudu alivyoumba.
Kumbukumbu la torati 5:7-9
[7] Usiwe na miungu mingine ila mimi.
[8] Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
[9] Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,