Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sio lazima sanaKumbe Kuna kunuiza? Nisiponuia chochote haita leta matokeo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima sanaKumbe Kuna kunuiza? Nisiponuia chochote haita leta matokeo?
2 Wafalme 2:19-22Ndio ila Damu ya Yesu na Jina la Yesu ni bora zaidi kuliko chumvi ya Mawe.
1 Samweli 17:45
[45]Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
Then said David to the Philistine, Thou comest to me with a sword, and with a spear, and with a shield: but I come to thee in the name of the LORD of hosts, the God of the armies of Israel, whom thou hast defied.
Daudi alimjia Goliati kwa jina la Mungu(YHWH) na akamshinda Goliati na miungu yake kwenye ulimwengu wa roho na mwili.
Jina la Yesu maana yake ni YHWH anaokoa.
Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeyafanya maji haya kuwa yenye kufaa; tangu sasa hayatasababisha vifo au kutoa mimba.”[emoji419][emoji375]2 Wafalme 2:19-22
19 Baadae watu wa Yeriko walimwendea Elisha, wakamwambia, “Bwana, kama uonavyo mji huu ni mzuri, lakini maji tuliyo nayo ni mabaya na yanasababisha mimba kuharibika.”
20 Elisha akawaambia, “Tieni chumvi ndani ya bakuli jipya, kisha mniletee.” Nao wakamletea.
21 Elisha akaenda kwenye chemchemi ya maji, akatupa chumvi hiyo ndani na kusema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeyafanya maji haya kuwa yenye kufaa; tangu sasa hayatasababisha vifo au kutoa mimba.”
22 Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha.
Ilikuwa ni kipindi cha Elisha, sio kipindi cha Yesu na wala si wakati huu wa sasa.2 Wafalme 2:19-22
19 Baadae watu wa Yeriko walimwendea Elisha, wakamwambia, “Bwana, kama uonavyo mji huu ni mzuri, lakini maji tuliyo nayo ni mabaya na yanasababisha mimba kuharibika.”
20 Elisha akawaambia, “Tieni chumvi ndani ya bakuli jipya, kisha mniletee.” Nao wakamletea.
21 Elisha akaenda kwenye chemchemi ya maji, akatupa chumvi hiyo ndani na kusema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeyafanya maji haya kuwa yenye kufaa; tangu sasa hayatasababisha vifo au kutoa mimba.”
22 Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha.
kwahiyo Mungu wa Elisha sio Mungu wa Yesu?Ilikuwa ni kipindi cha Elisha, sio kipindi cha Yesu na wala si wakati huu wa sasa.
Ni Mungu yuleyule ila Mungu huyu amemheshimisha mno Yesu na jina lake.kwahiyo Mungu wa Elisha sio Mungu wa Yesu?
kwahiyo unashauri tuignore agano la kale kwa sababu ya Yesu?Ni Mungu yuleyule ila Mungu huyu amemheshimisha mno Yesu na jina lake.
Wafilipi 2:5-11
[5]Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
[6]ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
[7]bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
[8]tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
[9]Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
[10]ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
[11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Agano la Kale sio vyote vya kuignore, ila Mungu amelithibitisha Agano Jipya na kulifanya kuwa Agano bora zaidi, hauna haja ya kutumia Chumvi au kitu chochote kujilinda, tumepewa jina la Yesu Kristo, ambaye aliyatoa maisha yake kuwaokoa wanadamu na dhambi na adhabu kuu kwa wale watakaokataa kumtii Mungu na kumuamini Yesu. Hivyo basi jina la Yesu Kristo na damu yake vinatosha kabisa kutatua changamoto zote katika ulimwengu wa mwili, unachotakiwa ni kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na kujazwa na Roho Mtakatifu, ili uanze safari ya kuishi maisha matakatifu.kwahiyo unashauri tuignore agano la kale kwa sababu ya Yesu?
Mara mbili kwa siku tosha kabisa.. Then mbeleni unaweza kwa mara moja kwa siku... Mbeleni zaidi mara moja moja
Kwani tatizo lako ni nini.Kuna wengine hawaamini mambo ya kiroho.
Wewe unaamini akhera Allah atatoa mabikira 72?
Kuna wengine wanaamini na wengine hawaamini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Kwenye ndoo tunachanganya chumvi kiasi ganiMara mbili kwa siku tosha kabisa.. Then mbeleni unaweza kwa mara moja kwa siku... Mbeleni zaidi mara moja moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri kwa kuita peponi kutakua ni danguro kutanitoa ktk iman yangu?Mpaka siku mkikaa sawa ndiyo utajua Allah aliwadanganya na ahadi ya mabikra 72.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Hapo mpo wanaume wa kiislamu 10 na kila mmoja ana mabikra 72. Huko peponi panakuwa danguro maana ni sauti za watu zinasikika wakifanya ngono.
Kiasi kidogo sana, kijiko kimoja ndoo ya lita 20 tosha kabisa.. Hakuna formula ila kwa mwezi wa kwanza tumia dailyKwenye ndoo tunachanganya chumvi kiasi gani
Ni zoezi la kudumu au baada ya wiki tunanyuti kwanza
Kwani tatizo niniKwa vile wewe tayari una zawadi ya mabikra 72 kwa Allah.
Nahitaji hizo Bikra 72 maana huko peponi mtafaidi sana.
Huko Peponi ni milio ya sauti ya watu wanasikika wakifanya ngono
DR HAYA LAND comment zake sio zakutilia mashaka....naunga mkono hoja...😊😊☺️☺️Hiyo kweli Mkuu nimejionea Sana.
Asante Kwa mwongozo brotherKiasi kidogo sana, kijiko kimoja ndoo ya lita 20 tosha kabisa.. Hakuna formula ila kwa mwezi wa kwanza tumia daily
Sent using Jamii Forums mobile app
unaongea vitu gani mzee Yesu mwenyewe alichanganya mchanga na mate akampaka kipofu akaonaAgano la Kale sio vyote vya kuignore, ila Mungu amelithibitisha Agano Jipya na kulifanya kuwa Agano bora zaidi, hauna haja ya kutumia Chumvi au kitu chochote kujilinda, tumepewa jina la Yesu Kristo, ambaye aliyatoa maisha yake kuwaokoa wanadamu na dhambi na adhabu kuu kwa wale watakaokataa kumtii Mungu na kumuamini Yesu. Hivyo basi jina la Yesu Kristo na damu yake vinatosha kabisa kutatua changamoto zote katika ulimwengu wa mwili, unachotakiwa ni kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na kujazwa na Roho Mtakatifu, ili uanze safari ya kuishi maisha matakatifu.