Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi huifanyia featuring na mambo ya kafaraUfafanuzi Tafadhali
Yeye nabii Musa huwa anaipata wapi hiyo chumvi
Miaka kadhaa imepita Kuna nyumba nilikuwa nimepanga ..usiku mmoja nkaona vitu sielewi elewi hasa nkizima taa..kesho yake nkaamua kuweka chumvi kwenye kona chumbani basi nkalala vizuri Raha mustarehe ,so nilipohama na kuhamia sehemu nyingine nkasafisha nyumba na kutoa zile chumvi....Mara Kuna siku nkakutana na mtu jirani akaniambia hivi niliwezaje kuishi Ile nyumba maana haikaliki wapangaji wanahama...nkasema Mimi nilimwaga chumvi ya mawe so toka niweke nililala Raha mstarehe kabisa.akashangaa Sana nkamwambia hiyo ndio Siri ya kambi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni nani Sasa? Musa Mwacha?Tena ukiogea chumvi iliyoombewa na Nabii wa Mungu wa kweli...
Ila majuzi nikiona clip ya Mwakasege ..naye akisema alienda Mbinguni akaonana na Yesu!Kuna FUNDISHO Moja nimelisahau liko kinyume kabisa na Biblia na alifundisha kanisani pale watu wanapiga makofi. Biblia nimeanza kuisoma nikiwa mdogo sana so mi mtumishi wa kweli wa Mungu nampimia hapo,kuna watu kama Mwakasege haendi kinyume na Maandiko, Moses Kulola nae ni hivyohivyo, niliwahi msikiliza, anaenda mulemule.
Ni mambo ya kiroho. Ni ngumu kuthibitisha kwa ulimwengu wa damu na nyama.Ila majuzi nikiona clip ya Mwakasege ..naye akisema alienda Mbinguni akaonana na Yesu!
Yote hii inasababishwa na Umasikini pamoja na kukosa elimu.Imani zingine ni vituko
Mpaka akili zije ziwakae sawa mtauziwa sana hizo chumvi na maji,siku mkiamka itakua too late.Ni mambo ya kiroho. Ni ngumu kuthibitisha kwa ulimwengu wa damu na nyama.
Kama mtu masikini anakopa hela 5 milion anaenda hija Macca kumponda jiwe shetani na anaamini limempata la mbavu.
- Wewe ushawahi kumuona shetani?
- Shetani unaweza kumpiga kwa jiwe?
Chumvi ya mawe huwezi kufananisha na dawa yoyote ya sangomaMoja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
Yule mganga si alikufaga kwa ajali ya gari enzi hizo?Oy una undugu na marehemu mwizukulu jilala mume WA Norah?
Mbona JoDevie na Zumaridi waliposema walienda Mbinguni kuonabna na Yesu ...Umma uliwaponda na kuwaona hamnazo!?Ni mambo ya kiroho. Ni ngumu kuthibitisha kwa ulimwengu wa damu na nyama.
Kama mtu masikini anakopa hela 5 milion anaenda hija Macca kumponda jiwe shetani na anaamini limempata la mbavu.
- Wewe ushawahi kumuona shetani?
- Shetani unaweza kumpiga kwa jiwe?
YapYule mganga si alikufaga kwa ajali ya gari enzi hizo?
Kuna wengine hawaamini mambo ya kiroho.K
Mbona JoDevie na Zumaridi waliposema walienda Mbinguni kuonabna na Yesu ...Umma uliwaponda na kuwaona hamnazo!?
Mpaka siku mkikaa sawa ndiyo utajua Allah aliwadanganya na ahadi ya mabikra 72.Mpaka akili zije ziwakae sawa mtauziwa sana hizo chumvi na maji,siku mkiamka itakua too late.
Kwenye dini kuna upigaji mwingi sana.
Duh!....Kwa hili la chumvi nimejifunza hata Dodoma ndio maji tunayotumia kuongea na kunywa naamini kwa chumvi hii ndio imetufungulia serikali kuhamia apa,soko la ndugai,stand mji wa kiserikali na sasa uwanja wa mpira
Mtaendelea kuitwa Kondoo sana tu,Kwenye dini kuna upigaji mwingi sana.
Nchi ya Saudia Arabia inakusanya pesa nyingi sana kutoka kwa watu.
Mtu yupo radhi akakope 5 milion apande ndege aende Saudia Arabia (Macca) kumponda jiwe shetani.
Mtu anazunguka Kahaba na jiwe lake mkononi anamtupia jiwe shetani. Shetani unaweza kumpiga kwa jiwe?
Shetani unamsikia na haujawahi kumuona tangia utoto mwako hadi sasa hilo jiwe litampataje?
Watu wanapigwa sana kwenye dini