Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Unaogeaje? Unaikoleza kwenye maji? Kiasi gani? Chumvi ya mawe ni ipi hiyo? Au Magadi?
Chumvi ya mawe ipo inauzwa mfano huku kwetu Lita 1 ni 1500 wakati mwingine 1000 tu. Huikolezi unaweka kidogo tu yaani iwemo kwenye maji yale ya kuoga kama ndio yapo kwenye ndio au beseni. Kwa wanaoogea Bomba la juu sijafahamu inakuwaje hapa
 
Chumvi ya mawe inapatikana masokoni tena kwa bei chee tu ya TSH 1000 kwa kilo.

Na hao manabii uchwara hakuna wanachoongeza kwenye hiyo chumvi
Aiseee kweli muhimu kusalimia watu, huku nilipo inauzwa kipakti kidogo mia tano, kumbe kunasehemu kilo ni buku tu.
 
Chumvi ya mawe ipo inauzwa mfano huku kwetu Lita 1 ni 1500 wakati mwingine 1000 tu. Huikolezi unaweka kidogo tu yaani iwemo kwenye maji yale ya kuoga kama ndio yapo kwenye ndio au beseni. Kwa wanaoogea Bomba la juu sijafahamu inakuwaje hapa
Chumvi Lita au kilo?
 
FB_IMG_1696075442516.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom