Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Mchawi kiboko yake sadaka tu ukiinenea hakuna takataka itakugusa uonekani kwenye radar zao.
Thus wanapotosha sana watu ili wasitoe sadaka mara zinaliwa,mara sijui nini,Hali wao wanatoa sana kwa shetani.
Hivi mchawi ambae kamtoa mtoto wake sadaka kwa maumivu,we Mkristo utoae chenji utamuweza kweli?
Thus wachawi wanawagalagaza sana Wakristo sababu wao wanatoa sadaka kwa maumivu na uaminifu wa Hali ya juu.
Hata Siri kubwa ya wayahudi kufanikiwa ni sadaka.
Hakuna Myahudi fukara Duniani labda awe teja au hayupo kwenye mfumo wa dini Yao.
Hio sadaka unampa nan labda?
 
Funguka sasa,tiririka kuhusu chumvi ya mawe,ya aina gani,inapatikana wapi,unaogea wapi mara ngapi,faida zake ni zipi.?nk

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chumvi ya mawe
Hizo za manabii ni biashara tu japo kama Imani yako inakupeleka huko basi fuata hiyo.
Mimi nainunua sokoni ipo ndani ya kutosha tu naogea na niko Safi tu.
Aliloandika mwenye uzi huu lipo sahihi kabisa japo mimi sikuliona kwa namna hiyo katika matumizi yangu ya chumvi ya mawe
Unaogeaje? Unaikoleza kwenye maji? Kiasi gani? Chumvi ya mawe ni ipi hiyo? Au Magadi?
 
Back
Top Bottom