Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Mimi sio wakiroho sana au mkristo sana kuliko yesu mwenyewe au pail lakini kiukwlei sijawahi kuwa na amani ya moyoni nikianza kusikia kwa watumishi mambo ya kuogea chumvi nasema tena sijawahi kuwa na amani sasa sijui nafsi inanidanganya au hii ibada roho haitaki?
anaekuroga au kukunenea mabaya bado yupo active muda wote
 
Usiku wa maombi usiku wa kupiga ng'ome.Wachawi wamethibitiwa usikii wakruka na ungo mbwa wote hawabweki anga lote limekamatwa na walio kwenye mkesha.
Ijumaa jumamosi Huwa ni siku nzuri sana hakunaga wageni wa usiku ukiwa jirani na haya makanisa ya 🔥.
Wangekuwa wanakesha Kila siku wachawi wangetafuta kazi ya kufanya maana anga halipitiki ijumaa jumamosi.
 
Mnao uliza chumvi ya mawe mtampata wapi jaman masokon hampajui au ndio uvivu?,inapatikana soko lolote Bei ya chini 500 na kuendelea Tena nyingi tu,pia ni nzur kama umeota ndoto mbaya usiku kama unakula vitu vibaya we amka asubuh kabla hujaala chochote(ombea)nuiya then lamba kidogo au changanya kwenye maji unywe.Pia unaweza kuchanganya na maji usiku ukaombea ukawa unamwagia kabla ya kulala ni yanakuwa maji ya baraka.Siyo Kila kitu mpka mfanyiwe na hao waganga au manabii.
 
Miaka kadhaa imepita Kuna nyumba nilikuwa nimepanga ..usiku mmoja nkaona vitu sielewi elewi hasa nkizima taa..kesho yake nkaamua kuweka chumvi kwenye kona chumbani basi nkalala vizuri Raha mustarehe ,so nilipohama na kuhamia sehemu nyingine nkasafisha nyumba na kutoa zile chumvi....Mara Kuna siku nkakutana na mtu jirani akaniambia hivi niliwezaje kuishi Ile nyumba maana haikaliki wapangaji wanahama...nkasema Mimi nilimwaga chumvi ya mawe so toka niweke nililala Raha mstarehe kabisa.akashangaa Sana nkamwambia hiyo ndio Siri ya kambi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kuhani musa ni nabii wa Mungu wa kweli au mungu wa kweli?
Tapeli tu yule juzi nilisikia muujiza wamchongo kabisa ..eti dada anadai aliitwa kuanza kazi ya ajira hata hakuomba hiyo kazi Kwa kufanya application......halafu eti kawalevel waaumini Kwa vipato ..Kuna wale wa mill 10 sijui ndio gold halafu etc...hakuna mtu wa Mungu pale .hizi ngozi nyeusi sijui huu ujinga wa manabii kuamini sijui nai katuroga..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mimi nimeifanya kuiogea kila siku..yaani ndio style ya maisha yangu kwa sasa...nilikuwa napigwa vita mbaya sana kuanzia kwenye familia ya baba yangu mpaka kwenye mfumo(system)
Wakati wa kuiogea unafanyaje, yani ukishaichangaya na maji unakuwa unajimwagia maji huku ukinuia au unanuia kwanza ndio unaanza kujimwagia maji uliyonuia?
 
Back
Top Bottom