Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Mwaka jana nilipita kwa jamaa yangu kumsubiria tuende kwenye event akaniambia siku hiyo anaogea chumvi ya mawe kwa mara ya kwanza ameletewa na KE wake. Alikuwa anafanya kazi zaidi ya 5yrs na hajapiga hatua kubwa yeyote ile na akiba hawezi kuweka. Baada ya hapo mambo yamemnyookea sana hatua za kimaendeleo alizopiga ni kubwa na anakubalika, kuaminika na kupendwa sana kuanzia mtaani, kazini mpaka maeneo ya bata.
 
Wakati wa kuiogea unafanyaje, yani ukishaichangaya na maji unakuwa unajimwagia maji huku ukinuia au unanuia kwanza ndio unaanza kujimwagia maji uliyonuia?
unaichanganya na maji halafu unanuia...ndio unaanza kujimwagia hakikisha kila sehemu ya mwili wako maji yamefika ...mpaka masikioni
 
Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
acha utapeli na uchawi mbuzi wewe. kama ingekuwa hivyo, wale watu wa dodoma wanaotumia maji ya chumvi, ardhi yote ukitindua tu chini ni maji ya chumvi, si wangekuwa na maisha bora sana?
 
Tapeli tu yule juzi nilisikia muujiza wamchongo kabisa ..eti dada anadai aliitwa kuanza kazi ya ajira hata hakuomba hiyo kazi Kwa kufanya application......halafu eti kawalevel waaumini Kwa vipato ..Kuna wale wa mill 10 sijui ndio gold halafu etc...hakuna mtu wa Mungu pale .hizi ngozi nyeusi sijui huu ujinga wa manabii kuamini sijui nai katuroga..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
aisee hyo tp sitakagi hata kumsikia, kuna jamaa mmoja tumetoka kijiji kimoja alimtapeligi bro wangu hela kpnd fulani, yan huyo jamaa ni tp wa hatari, na huyo kuhani maandazi huwa anamtumia sana kutoa shuhuda za mchongo ili kuwapiga watu.
 
Muulize kwanini usipeleke sabuni kanisani Ila chumvi?


Chumvi inajitegemea, nad

Mi mwenyewe ninetoka kupigiwa simu ya nyumbani eti niogee chumvi ya mawe asubuhi na mapema ndipo niende kwenye interview. Muda huu nakutana na huu uzi wa n

Mi mwenyewe ninetoka kupigiwa simu ya nyumbani eti niogee chumvi ya mawe asubuhi na mapema ndipo niende kwenye interview. Muda huu nakutana na huu uzi wa mawe chumvi hapa
Fanya hivo
 
Back
Top Bottom