Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

unaongea vitu gani mzee Yesu mwenyewe alichanganya mchanga na mate akampaka kipofu akaona
Yesu kweli alichanganywa mchanga na mate, mate yake yakiwa ya kiungu ila kumbuka mwanadamu aliumbwa kwa udongo, so macho ya yule kipofu yalibidi yaumbwe upya kutokana na tatizo alilo nalo.
Kutumia kitu chochote mkuu inabidi uwe umeongozwa kwanza na Roho Mtakatifu
 
Nimejikuta nacheka hii comment
 
Ewe chumvi uliyeumbwa toka asilia ya dunia ilipoanza, kama utunzapo vitu....itunze nyota yangu...,., kama utakasapo vitu....takasa mwili na nyota yangu....nuia kwa kumaanisha.
Tutaacha kumwabudu Muumbaji, tunaabudu alivyoumba.

‭‭Kumbukumbu la torati ‬ ‭5:7‭-‬9‬ ‭

[7] Usiwe na miungu mingine ila mimi.

[8] Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.

[9] Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
 
Mshana Jr Samahani brother , na wanaosema kuwa ukiiweka kwenye glass ya maji , ukaiweka chini ya kitanda ! ndoto za ajabu mtu utaacha kuota ? na wale watu wa usiku watshindwa kukutembelea ?.
 
Yesu, manabii walituamia mate, matope kufanya miujiza itakuwa chumvi mawe???
 
Hongera! Namba yako itazawadiwa hadi kiasi cha Tsh 300,000 leo. Jisajili www.helabet.co.tz weka promocode BONGE kupata offer hii.

Mechi kibao kila siku!

PROMO code ni BONGE @helabet_tz
 

Attachments

  • VID_20231127_085909_152.mp4
    215.4 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…