Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

 
Upungufu wa uboho mwilini
 
Nimesoma huu Uzi mbele ya watu wazee adi wameshtuka Sana. #Tunaangamia. Alaf unakuta wew n mama wa watu unamuhudumia mumeo vizur tu, sema ndo kuchangamshana tu huku JF
 
Alaf unakuta wew n mama wa watu unamuhudumia mumeo vizur tu, sema ndo kuchangamshana tu huku JF
Niko serious mm @, sexless kungwi la kitaa. Zama zimebadikika nanyi badilikeni.

Nimechoka kusuluhisha migogoro ya ndoa.
 
Duh, wewe landa hujui nini maana ya msaidizi. Mke ni personal helper wa mumewe. Atamsaidia kwa kila kitu mumewe ili maisha yake yaende smooth. Vile ulivyoona huwezi kuvifanya ndo key activities zinazoleta maana ya usaidizi. Umetaja vifungu vya bibilia, ngoja nikupe maneno kuntu.
Mwanzo 3:16 SRUVDC

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa uchungu utazaa watoto; hata hivyo, hamu yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Unajua maananya kutawaliwa lakini.
 
Tafouti ya nyie na wazungu ni kwamba wazungu wanasaidiana Kila kitu Hadi bill Sasa nyie Hadi familia zenu Yani baba na kaka zenu wanasubili tuwaoe ili nao wotoke kimaisha maana wamechoka kusota uswahilini Sasa kwanini msiwe mabeki tatu na mkizubaa hata baba zenu tutawageuza mashamba boi
 
yani we kwel ni sexless
 
50/50
 
Nimesoma huu Uzi mbele ya watu wazee adi wameshtuka Sana. #Tunaangamia. Alaf unakuta wew n mama wa watu unamuhudumia mumeo vizur tu, sema ndo kuchangamshana tu huku JF
Ni mke wangu Sexless huyu tumezinguana kidogo nashangaa amekuja kuleta nyuzi huku. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…