Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl


Wagome kufanya hivyo kama watatoboa two years
 
Boss najua mtoa mada kazingua ila tusifike kwa wazazi, hiyo ni dharau kubwa mno tena mno.
 
Boss najua mtoa mada kazingua ila tusifike kwa wazazi, hiyo ni dharau kubwa mno tena mno.
Hapana Mimi lazima tuwambie ukweli kwani hujawahi ona masheji na wakwe na namna hiyo sio lazima iwe yeye Mleta mada ni generalize familia nyingi za kiafrika
 
Kiwanda cha kufyatua Single Mothers
 
Tupatie majukumu aliyokua anafanya mama yako katika ndoa yake halafu tuendele na mjadala.
 
Ikiwezekana na mimba awe anabeba yeye ili akuzalie watoto.
 
Wakala wa shetani wa kuhalibu ndoa watu
 
Wewe mleta mada hujui kwamba hizo kazi ndizo humfanya mke kuwa mmliki mwenza wa mali za familia ?
 
Tumuambie au tumuache
 
Nchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.

Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani
Sasa labda tu nikuulize mie nikutoka kazini nije nifanye hizo kazi na ww hapo nyumbani kazi yako nini
 
nina mzungu anajua majukumu yake wewe mweusi kama mimi tena jinsia ya kike unaniletea hayo.
wanaume tunakazi kufikisha taifa la utumbo mpana
 
Unamaanisha kuolewa au kuowana?
Je mahali kazi yake ni nini?
 
Sawa tuleteeni hao mahouse girl na tudawadinya wote kwa pamoja (wife + house girl) si ndio mnavyotaka.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…