Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Pale ambapo mtoa mada anashambuliwa na pande zote 2 za muungano.
Lazima Leo ukome.
 
Una miaka mingapi?
Je umeolewa?
Au ni single mom?
Na kama ni single mom, baba mtoto yuko hai?
Ukijibu haya maswali nitadraw conclusion.
 
Ww umekosa ndoa usiwarubuni wenzako waliopata ndoa mwanaume wa Kiafrika hatak huo upuuz.. pole kwa kua single
 
Wewe ni siku siyo nyingi utatembea uchi barabarani kwa ukichaaa
 
Chukueni huu ushauri muishie kuwa single mothers
 
Huyo shetani aliyekutuma amefanikiwa sana.

Ndiyo maana you are sexless.
 
Siuende huko ulaya
 
Kama mwanamke high profile kansela wa Ujerumani anampikia mume wake na haendi ofisini bila kuandaa breakfast ya mume wake na kasri lao lina wafanyakazi lukuki wewe Asha ngedere una nini cha maana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hayo Waislam tunayajuwa miaka 1400 nyuma?


Tukipika au kufanya kazi za nyumbani ni kwa mapemzi yetu tu, siyo kwa kuwa ndiyo kazi za mke.


Kazi zetu kujipamba ,kumstarehesha mume, kulea watoto. Ma shaa Allah.
Bibi amesema, nani anapingaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…