Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Pale ambapo mtoa mada anashambuliwa na pande zote 2 za muungano.
Lazima Leo ukome.
 
Uyo Kansela kakubali kwa sababu zake mwenyewe yeye ninani tumuige??
Ukiamka asubuhi wakat mwenzio anapika chai wewe utapungukiwa nn ukisogeza hata vikombe mezani!! Hamjiamin tatizo nn kwani?
Asubuh wakat mwenzio anatandika kitanda we ukiandaa chai utakatika kidole kwan??
Muache upuuz ndo maana mnalialia daily ooh ndoa ngum ooh kataa ndoa mxeeew.
Ndoa ni paradiso ndogo wajameni. Ukiona unateseka kimbia.
Una miaka mingapi?
Je umeolewa?
Au ni single mom?
Na kama ni single mom, baba mtoto yuko hai?
Ukijibu haya maswali nitadraw conclusion.
 
Ww umekosa ndoa usiwarubuni wenzako waliopata ndoa mwanaume wa Kiafrika hatak huo upuuz.. pole kwa kua single
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Wewe ni siku siyo nyingi utatembea uchi barabarani kwa ukichaaa
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Chukueni huu ushauri muishie kuwa single mothers
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Huyo shetani aliyekutuma amefanikiwa sana.

Ndiyo maana you are sexless.
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Siuende huko ulaya
 
Kama mwanamke high profile kansela wa Ujerumani anampikia mume wake na haendi ofisini bila kuandaa breakfast ya mume wake na kasri lao lina wafanyakazi lukuki wewe Asha ngedere una nini cha maana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hayo Waislam tunayajuwa miaka 1400 nyuma?

Tukipika au kufanya kazi za nyumbani ni kwa mapemzi yetu tu, siyo kwa kuwa ndiyo kazi za mke.

Kazi zetu kujipamba ,kumstarehesha mume, kulea watoto. Ma shaa Allah.
Bibi amesema, nani anapingaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom