Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

Muheshim mmeo/boyfriend wako acha mbambamba,,kwa mfano unakuwa na mazoea ya kiboya na ex wako Kwa kigezo Cha "We are just friends" na jamaa ako akawa anakuchekea tu hapo ni mawili

1. Hakuchukulii serious kihivyoo(Hakupendi)

2.Unadate na shoga yako

Itifaki lazma zizingatiwe,,sawa tumekutana ukubwani lakin tunavyokubali kuwa wapenzi nawekeza nguvu, muda,akili,pesa na Kila kitu kwako kwahiyo nikicheza naweza ishia kubomoa vitu nilivyovijenga tangu nazaliwa mpaka leo hii umenikuta hivi ukubwani

N.B mipaka izingatiwe sio mtu anakuomba tigo afu anakutishia ukikataa mtaachana, huyo chizi achana naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manipulators katika mahusiano;

Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa.

Wanapenda kutishia wenzao, mfano anaweza kukwambia ukienda kwenye hiyo shughuli usirudi hapa nyumbani, kulazimisha vitu/kutumia nguvu hata pasipohitaji matumizi ya nguvu.

Watu wa namna hiyo ni hatari sana, kwa kuwa anaweza kukufanya uwe na mashaka na uwezo wako binafsi (self-doubt) na kupelekea kutokujiamini.

Vipi mmeshawahi kukutana nao?

Kubali kuwa mwanamke
 
Wanawake hawajui hili,wanataka waendelee na utopolo wao wakati wapo kwenye ndoa.

Mimi binafsi si entertain ujinga kabisa ,ukiwa macho juu juu lazima nikupige chini tu.....Uhuru ndio mwisho yanaokea ya katibu na monika seka.
Mwanamke hatakiwi kupewa uhuru kabisaa... tena mwanamke anatakiwa kukaa ndani.. huu utaratibu mwanamke anakuwa na yeye mpambanaji imechangia kuvunja ndoa nyingi.. Hao viumbe ukiwapa uhuru umeumia
 
Sure wanawake wanahitaji kuwa monitored ,ukimpa uhuru wa manyani lazima akupige tukio la hatari ,ukiwa "KAX" anakaa kwenye reli.
 
Acha kudate na watoto walamba lips na wanyoa viduku
Wala wanavaa suruali na shati na wanaingia maofisini. Hao walamba lips wakuachishe kazi na wao wale wapi? Ni hao hao wenzenu mko nao huko mnajazana ujinga kwamba wanawake wasomi wajeuri
 
Ishu sio kazi, shida wanawake mnashindwa kuelewa, ukiwa kazin fanya ya kazini na ukiwa nyumbani kuwa mke kwa mumeo na mama kwa watoto wako, tatizo mnaleta ukurugenz wenu hadi nyumban, hakuna mwanaume atakayekubali. Ila km unaheshimu ndoa vizuri na humvunjii heshima na bado anataka uache kazi, hao ndo wavulana sasa anataka akupelekeshe, wanaume wa hivyo ni wa ovyo na wapuuzi.
Sasa mkurugenzi anaetoka kazini jioni, unataka atoke mchana aje akupikie akubebe kiunoni akakuogeshe au? Ndo maana tunasema oeni wenye hadhi mnazotaka ili msiharibu future za wenzenu.

Maisha yale ya 1976 ambayo mama ni wanyumbani unamletea mchele na unga mnataka muwe nayo hadi saizi na bado mume anategemea mke akatafute asomeshe watoto.
Most men wana inferiority complex anaamini mke akiwa mkurugenzi basi automatically anamdharau hata kama
Sio kweli
 
Shida ukurugenzi mnaupeleka hadi nyumbani
 
Umerukia mada ya ukurugenzi. Nilichosema mwanzo, umemkuta binti wa watu ni muajiriwa mshahara wa kawaida tu wewe unamuachisha kazi ni sawa?

Na kama ulimkuta mkurugenzi na unajua kabisa wakurugenzi wanapeleka ukurugenzi nyumbani kwanini usimuache? So aache nafasi yake ili aje akutumikie wewe ambae bado una michepuko yenye hadhi ya mfagizi wake. Tatizo hamridhiki. Mwanamke anaamua afocus kutaftia wanae maisha
Shida ukurugenzi mnaupeleka hadi nyumbani
 
Manipulators katika mahusiano;

Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa.

Wanapenda kutishia wenzao, mfano anaweza kukwambia ukienda kwenye hiyo shughuli usirudi hapa nyumbani, kulazimisha vitu/kutumia nguvu hata pasipohitaji matumizi ya nguvu.

Watu wa namna hiyo ni hatari sana, kwa kuwa anaweza kukufanya uwe na mashaka na uwezo wako binafsi (self-doubt) na kupelekea kutokujiamini.

Vipi mmeshawahi kukutana nao?

Mimi sijawahi kukutana nao.
 
Sasa mkurugenzi anaetoka kazini jioni, unataka atoke mchana aje akupikie akubebe kiunoni akakuogeshe au? Ndo maana tunasema oeni wenye hadhi mnazotaka ili msiharibu future za wenzenu.

Maisha yale ya 1976 ambayo mama ni wanyumbani unamletea mchele na unga mnataka muwe nayo hadi saizi na bado mume anategemea mke akatafute asomeshe watoto.
Most men wana inferiority complex anaamini mke akiwa mkurugenzi basi automatically anamdharau hata kama
Sio kweli
Unaonekana una kiburi na haupo tayari kuwa mke, mume unayemtaka wew huyo hayupo labda umuoe wew, kuwa mke sio lazima umpikie mumeo kila siku au umbebe mumeo, hata km chakula akipika HG basi atleast ukionje kwanza na umuandalie mumeo, yaan umechoka kiasi kwamba huwezi kumuandalia mumeo chakula? Mueleze mumeo kwa upole na heshima kwamba umechoka na vile unavyomtreat atakuelewa, tunaishi na wanawake wasomi wenye vyeo vikubwa ila wamefundwa wakafundika, hawasumbui hata kdg, tunaenjoy ndoa.

Acha ulimbukeni, cheo, elimu na kazi yako hazireplace umwanamme wako ila vinaboresha zaidi nafasi yako ya kuwa mwanamke.
 
Wewe usiniletee umang’aa. Tangu mwanzo post yangu inasema mwanaume umemkuta mwanamke ana kazi unamuachisha. Kende zimekuwasha unarukia point ambazo hazipo. Tafuteni wanawake wa la pili b muwaweke ndani na sio unamkuta mtoto wa watu na kazi yake unamwambia aache ili akuabudu wewe huo ni upumbavu. Kwa taarifa yako mimi ni mke wa mwanaume mwelewa haswa alienikuta nna career yangu na tunalea familia pamoja. Hajawahi kuniambia niache kazi, nimemhudumia hadi nna mimba ya miezi tisa nafanya kazi zote nyumbani. We unaleta upuuzi. Unadhani kila ndoa inaendeshwa kibabe. Mume wangu anani treat kama mke na mimi nampa heshima kama mume. Mtawapelekesha hao wengine alafu stick kwenye mada
 
Futa huuu uzi alafu andika "Upweke unanisumbua Mungu niokoe"
 
Kuhusu mume kumwachisha mke wake kazi inaweza ikawa sawa au sio sawa kutegemea na mienendo ya huyo mke na sababu inayopelekea mume kuamua hivyo.
 
Pia kuachana sio jambo jema na hasara zaidi kwa watoto japo wakati mwingine inabidi iwe hivyo Ili maisha yasonge.
Shida watu uficha tabia zao mwanzoni,ni upumbavu kuificha tabia yako hali ukijua haitofichika ukishaingia ndani
 
Back
Top Bottom