Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Mwili mmoja halafu unataka uwe huru kivwako.
Kataa ndoa ya nkataba wa kudumu .
Hata ukiajiriwa unafuata masharti ya ajira.
Kila mkataba una masharti yake.
 
Mazingira nayo yanachangia.. sasa wewe mpe uhuru mkeo awe anaenda club halafu usikilizie mlio
Mwanamke achungiki dakika 30 kwake nyingi sana,omba tu Mungu azidi kukufunika usiyajue wayatendayo baada ya wewe kuondoka.
 
Wanaume tuoe wanawake wa saizi yetu, mwanamke anaekutii. Una engine ya Fuso unachukua mwanamke ana engine ya scania lazima akuburuze, ukiwa na engine ya Fuso oa mke mwenye engine ya kirikuu.
 
Yaani acha tu.

Unamkuta mwanaume amekukuta unafanya kazi bank, mshahara wako mzuri tu. Anakuonesha mapenzi ya kweli unasema mwanaume si ndo huyu. Hajawahi kugusia kwamba nikikuoa utaacha kazi, hakupangii marafiki wala nini na amekukuta unaishi vizuri na ndugu zako na rafiki zako. Umezoea unajinunulia nguo zako na vitu kama hivyo.

Sasa subiri akuoe. Anaanza. Mi sipendi pale unapofanyia kazi, sasa unamuuliza kwanini kipindi tupo kwenye uchumba hukuwahi kusema kwamba hupendi ofisi yangu na hutamani nifanye kazi hapa ili nijue kama ntaweza kuishi
Na wewe au la. !! Kwanini usubiri unioe ndo uniachishe kazi. Unakuta mtu anakwambia mi staki hiki staki kile na kipindi cha uchumba hakuwahi kusema hivyo vyote.

Kakukuta una gari, una viwanja anataka na yeye majina yake
Yawepo kwenye hivyo viwanja. Hivi huwa shida ni nini? Af wanaume wa hivyi
Wanaenda kutangaza mwanamke msomi mjeuri. Sasa kwanini usingeenda kuoa wa darasa la saba? Mimi
Nna familia nasaidia vitu vidogo umenikuta nawahudumia na hata mia yako sijawahi kukuomba. Unanioa unaanza kunipangia na hata nikiacha kazi unaanza manyanyaso ukiomba hela yaani utaulizwa ya nini. Hadi uje na
Proposal kama unaomba funds UN. Aisee wanaume kwani wanawake huwa wanaomba sana muwaoe? Mbona mnawatreat kama they are desperate in getting married? Umemkuta mtu ana mfumo wake na unajijua we ni mtemi muache tafuta kingedere chako ukipelekeshe
Watu kama wewe huwa wako singo
 
Upepo wa Pesa Wamekudanganya😂 nna ndoa tena yenye amani haswa. Huwa hatuolewi na kina iddi amini

Yani niogope kuwa single kisa mwanaume kanikuta nna kazi anataka kuniachisha? How pathetic!! Unanipa dunia?? Hivi wanaume mnadhani wanawake wote wanaichukulia ndoa kama daraja eeh??? Nyie mnaoshindana na wanyama kujamiiana? Aah we
 
Ndio nipo hivyo yani, kwa wanawake zangu na wanaishi maisha bora
 
Upepo wa Pesa Wamekudanganya[emoji23] nna ndoa tena yenye amani haswa. Huwa hatuolewi na kina iddi amini

Yani niogope kuwa single kisa mwanaume kanikuta nna kazi anataka kuniachisha? How pathetic!! Unanipa dunia?? Hivi wanaume mnadhani wanawake wote wanaichukulia ndoa kama daraja eeh??? Nyie mnaoshindana na wanyama kujamiiana? Aah we
Ww mwanamke unaonekana una kiburi na ni mjivuni sana .

Kingine unatokea kwenye familia masikini sana kwa hiyo hako kamshahara ka 400000 unako pokea kila mwezi unakaona kama mungu ndio maana unawekejeli wanawake wenzio kwa kuwaita la2b.

Na kama kweli una mme basi huyo mme wako umempa libwata maana kwa mwanaume kamili hawezi kuwa na mke mwenye dharau na mjivuni kama ww.

Kama rais Samia ambaye watu zaidi ya million 60 wanapokea amri kutoka kwake na bado akienda nyumbani anamuheshimu mmewe, sembuse ww kapuku fulani uniletee kiburi kisa kikazi chako cha mshaara 400,000?

Ningekuoa mm ungenyooka kama rula labda sio mm.
 
Mimi niolewe na mwanaume kama wewe nakutoa wapi?
Nakupeleka wapi? Eti uninyooshe🤣🤣🤣🤣🤣Zama za kupelekeshana zilikufa!!! Btw mume wangu ndo mkuu wangu nyumbani ndo maana nawashangaa mnaotaka kuwapelekesha wake zenu. Nna miaka 19 kwenye ndoa december natimiza wa 20 sijawahi kudharauliana na mume wangu. Hajawahi kusikia neno la kejeli. Kanikuta nna mshahara na yeye ana wa kwake tumepanga mipango pamoja hadi tunajenga nyumba ya pili sasa. Unataka kuniambia nini??! Upuuzi pelekeeni wake zenu mnaowaachisha kazi ili mkazae nje kipuuzi muwanyanyase unadhani hatuwajui. Mke unataka umuachishe kazi ili mkienda kufanya ufuska wawe hawana pa kwenda wawategemee nyinyi. Looh! Shame on you.

Kutokea familia ya kimaskini ningesomeshwa shule za kutambua utopolo wa design yako?? Women like us are not desperate for having controlling husbands.. we live with men who are caring and understanding na tunajenga family pamoja kwa upendo.

Ndoa yenye maelewano inawezekana kwa asilimia mia. Nyie watemi bebeni mandembele muipelekeshe. Unakuja kuoa mjini kifala lazima kila mwanamke umuone mjeuri na sio shida zangu. So ulitaka nije jf nianze kuamkia wanaume wote? Uje kwa adabu. Utanyenyekewa kwa mkeo kama nnavonyenyekea ya mume wangu. Eboo
 
Ww mwanamke unaonekana una kiburi na ni mjivuni sana .

Kingine unatokea kwenye familia masikini sana kwa hiyo hako kamshahara ka 400000 unako pokea kila mwezi unakaona kama mungu ndio maana unawekejeli wanawake wenzio kwa kuwaita la2b.

Na kama kweli una mme basi huyo mme wako umempa libwata maana kwa mwanaume kamili hawezi kuwa na mke mwenye dharau na mjivuni kama ww.

Kama rais Samia ambaye watu zaidi ya million 60 wanapokea amri kutoka kwake na bado akienda nyumbani anamuheshimu mmewe, sembuse ww kapuku fulani uniletee kiburi kisa kikazi chako cha mshaara 400,000?

Ningekuoa mm ungenyooka kama rula labda sio mm.
Kunguru afugikiki hata kwa kipigo utanyooka wewe, huwezi mfunza maadili mtu ukubwani
 
Unikute nna kazi na hukuwa unanipa hata mia af uje uniachishe kazi ili nianze kukaa ndani kwako unipe af tatu kwa masharti nna kichaa?? Mwanaume hapo bado ana cheat ana suuza rungu nje kama jibwa na kakuzalisha watoto wanne anakwambia acha kazi af ye anajenga na mbwa wake nje. Aah subutuuu oeni wa form 2 muwapelekesheee
Sio lazima kuolewa, enjoy maisha yako
 
Mimi niolewe na mwanaume kama wewe nakutoa wapi?
Nakupeleka wapi? Eti uninyooshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zama za kupelekeshana zilikufa!!! Btw mume wangu ndo mkuu wangu nyumbani ndo maana nawashangaa mnaotaka kuwapelekesha wake zenu. Nna miaka 19 kwenye ndoa december natimiza wa 20 sijawahi kudharauliana na mume wangu. Hajawahi kusikia neno la kejeli. Kanikuta nna mshahara na yeye ana wa kwake tumepanga mipango pamoja hadi tunajenga nyumba ya pili sasa. Unataka kuniambia nini??! Upuuzi pelekeeni wake zenu mnaowaachisha kazi ili mkazae nje kipuuzi muwanyanyase unadhani hatuwajui. Mke unataka umuachishe kazi ili mkienda kufanya ufuska wawe hawana pa kwenda wawategemee nyinyi. Looh! Shame on you.

Kutokea familia ya kimaskini ningesomeshwa shule za kutambua utopolo wa design yako?? Women like us are not desperate for having controlling husbands.. we live with men who are caring and understanding na tunajenga family pamoja kwa upendo.

Ndoa yenye maelewano inawezekana kwa asilimia mia. Nyie watemi bebeni mandembele muipelekeshe. Unakuja kuoa mjini kifala lazima kila mwanamke umuone mjeuri na sio shida zangu. So ulitaka nije jf nianze kuamkia wanaume wote? Uje kwa adabu. Utanyenyekewa kwa mkeo kama nnavonyenyekea ya mume wangu. Eboo
Huwezi kukaa miaka 19 kweny ndoa mwanamke kama wew, usituchore humu, unaandika andika namba ili tuone unaongea ukweli, wew ni single mother tena umezalishwa na mwanaume zaidi ya mmoja. Endelea na maisha hayo ni uhuru wako
 
Kama wewe ndo umenizalisha sawa. Unadhani kila mwanamke ana akili kama waliokuzunguka.

Usilazimishe kila mtu aone unachoamini wewe ni sawa. Huna uliemzaa humu. Peleka amri nyumbani kwako. Mimi sio single mother na sijawahi kuzaa nje ya ndoa. Kwahiyo unataka kumaanisha waliozalishwa masingle mother ndo hawajielewi. Usifananishe watu wa nyumbani kwenu na wanawake wote.

Nashukuru sina mume design yako.
 
Kwann akuachishe kazi,labda kama kuna Kazi anakupa yenye ujira zaidi
sasa ndo umjibu huyu Afisa Tabibu maana anataka kuniletea amri za mkewe hapa. Eti ooh ujeuri. Yani uniachishe kazi uniweke nyumbani nasubiri elfu moja tena ukijiskia kuacha? Maisha ya sasa hayaendi hivyo.
 
Mimi niolewe na mwanaume kama wewe nakutoa wapi?
Nakupeleka wapi? Eti uninyooshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zama za kupelekeshana zilikufa!!! Btw mume wangu ndo mkuu wangu nyumbani ndo maana nawashangaa mnaotaka kuwapelekesha wake zenu. Nna miaka 19 kwenye ndoa december natimiza wa 20 sijawahi kudharauliana na mume wangu. Hajawahi kusikia neno la kejeli. Kanikuta nna mshahara na yeye ana wa kwake tumepanga mipango pamoja hadi tunajenga nyumba ya pili sasa. Unataka kuniambia nini??! Upuuzi pelekeeni wake zenu mnaowaachisha kazi ili mkazae nje kipuuzi muwanyanyase unadhani hatuwajui. Mke unataka umuachishe kazi ili mkienda kufanya ufuska wawe hawana pa kwenda wawategemee nyinyi. Looh! Shame on you.

Kutokea familia ya kimaskini ningesomeshwa shule za kutambua utopolo wa design yako?? Women like us are not desperate for having controlling husbands.. we live with men who are caring and understanding na tunajenga family pamoja kwa upendo.

Ndoa yenye maelewano inawezekana kwa asilimia mia. Nyie watemi bebeni mandembele muipelekeshe. Unakuja kuoa mjini kifala lazima kila mwanamke umuone mjeuri na sio shida zangu. So ulitaka nije jf nianze kuamkia wanaume wote? Uje kwa adabu. Utanyenyekewa kwa mkeo kama nnavonyenyekea ya mume wangu. Eboo
Alafu jifunze kuwa na lugha ya sitaa na punguza majivuno anaye jua kesho yako ni mungu tu, ninaweza ni sikuoe ww lakini nikamuowa binti yako na nikampelekesha ninavyo taka na usinifanye kitu.

Mm sijakataa mwanamke kufanya kazi, lakini akianza kutumia kisingizio cha kazi kuendeleza ajenda zake za siri hiyo kazi ataiacha atake hasitake.

Mfano haanze kuja nyumbani saa 3 za usiku kisingizio ni nilikuwa kazini wakati saa za kazi mwisho ni saa 10 jioni.

Mshahara wake hauna msaada wowote kwenye familia zaidi ya kulipia mchango ya harusi za mashoga zake na vikoba visivyo na faida yeyote.

Mambo kama hayo ndo yanapelekea wanaume kuwakataza wake zao kufanya kazi maana hawaoni faida ya hiyo kazi.

Kama ww una kazi na bado unatimiza majukumu yako kama mke na mshahara wako unatumika kwa manufaa ya familia hapo hamna shida, tofauti na hapo hiyo kazi hutoifanya.

Alafu mm nikitaka uache kazi sinto jisumbua kuanza kupigizana kelele na ww kukwaambia uache kazi badala yake utadhangaa unapokea barua ya kuachishwa kazi kwa sababu zisizo eleweka na hutojua kama ni mm ndo sababu.
 
Back
Top Bottom