Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

Jitu Hela linatafuta lenyewe.
Linamtunaa mkewe.
Linatunza familia.

Bado haliheshimiwi, limekaakaa kama limelogwa au kama akili hazifanyi kazi.

Alafu linapunjwa mboga.
Haliheshimiwi
Linanuniwa nuniwa hovyo kama sehemu ya adhabu😂😂
Napendekeza watandikwe bakora nyingi na barabara hadi wajitambue.Hamna namna!
 
Ila kwa sasa ndoa na familia imekuwa ngumu Sana inahitaji either ujitoe ufahamu kuvumilia au uwe mjinga .

Ukiwa Mfalme au mtawala hakuna option ya kujitoa fahamu au uwe mjinga.
Kwenye Leadership Skills na utawala hakunaga kitu kama hicho.

Ni aidha Do or Die!
Kuvumilia ujinga hasa Kwa Baba ndio kumefikisha jamii hapa ilipo.

Mtawala ana options kutumia akili au mabavu ku-maintain Order na regulations
 
Hujakutana na pasua kichwa wewe, kuna vitu vingine havina formula

Na siwezi kutana navyo.
Lakini hata nikikutana navyo mambo ya kufanya yapo
Kwa nini uishi na mtu asiyekuheshimu, kutii mamlaka Yako, kama wewe sio mwenye tatizo
 
Hapo ulipomalizia kwa sasa Dar es salaam nikajua nawe ni wale wale
 
Wapare mnakunywa pombe na makande 😅😅 uchagani tunaweza amua ng'ombe afe au asife kwa bingwa wa mchezo wa karata tu🤣

Najua kwenye Maisha Yako hujawahi kula makande yaliyochanganywa na nyama. Sio Makange. Makande nyama
 
Mimi nilikosea kumjengea Mwanamke wangu wa pili wa ndoa tu , tofauti na hapo nakosea kunywa safari badala ya kilimanjaro 🤣

Ndoa inaendeshwa kitaasisi, sheria na kanuni. Mapenzi ni kichocheo tuu. Kidunchu.
Ukiendekeza mapenzi kwenye ndoa lazima mwanaume ufeli mapema tuu.
 
Najua kwenye Maisha Yako hujawahi kula makande yaliyochanganywa na nyama. Sio Makange. Makande nyama
Uchagani watu wakila mchicha na samaki wamefulia mtani , kila kitongoji kina mabucha ya nyama zaidi ya matano mtani 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…