Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #101
Mambo ni mengi kwenye maisha bro usichukulie poa kabisa
Vijana wa sasa kabla ya kuingia kwenye ndoa yawapasa kuishi na wanawake kinyumba anfalau miaka miwili,jumla miaka 4.Kisha ndo muoe.Ukiweza unapiga mashine ila unamwaga njee usizae hovyo hapo uko field😀 baada ya hapo oa sasa kamwe wanawake hawatakusumbua.
📌chukueni mbinu hiyo.
Unaweza kuipractise ukiwa chuoni au kipindi unajimake.
Nb:Huyo mwanamke akiwa vizuri anakidhi vigezo na masharti OA mara baada ya muda wa matazamio ambayo ni miaka miwili kuisha.Hapo utaenjoy ndoa.
Kaka hapa ni kazi na dawa hata bibi ananiambia 🤣
Tunatawala kibabe ila mwisho wasiku unakuta unatawala pesa na watoto wako tu , mwanamke ni mama yako bwasheeKwenye utawala no excuse.
Mambo hata yawe mengi ni jukumu lako kama mtawala kukabiliana nayo. Huo ndio uanaume.
No excuse!
Ndio maana ukaambiwa kutawala Dunia kisha kumtawala Mwanamke
Hakuna utawala bila mambo mengi.
Utawala maana yake kutiisha
Elimu tupa kule vyombo ni vyombo tu Dr am 4 real PhDKula vyombo Kaka
Tena advantage Yako ni kuwa unaelimu na uelewa wa mambo, so utakunywa bila kujidhuru huku ukifurahia
SIMPS a.k.a WANAUME MABWEGE watakuja na vingereza na maneno ya shombo na experience zao za kukesha baa kukimbia nyumba zao zisizokalika.Ila ukweli ni kuwa wanaume wengi baada ya mambo ya JANDO kutokupewa kipaumbele wanashindwa kutawala nyumba zao.Ukiwa Mfalme au mtawala hakuna option ya kujitoa fahamu au uwe mjinga.
Kwenye Leadership Skills na utawala hakunaga kitu kama hicho.
Ni aidha Do or Die!
Kuvumilia ujinga hasa Kwa Baba ndio kumefikisha jamii hapa ilipo.
Mtawala ana options kutumia akili au mabavu ku-maintain Order na regulations
Usingekua na matusi ningekujibuSIMPS a.k.a WANAUME MABWEGE watakuja na vingereza na maneno ya shombo na experience zao za kukesha baa kukimbia nyumba zao zisizokalika.Ila ukweli ni kuwa wanaume wengi baada ya mambo ya JANDO kutokupewa kipaumbele wanashindwa kutawala nyumba zao.
Kosa kubwa ni kumuacha mtawaliwa atawale,kimbembe atakiona mtawala.
Ifahamike wazi mwanamke anapenda kutawaliwa,anapenda aone mwanaume unakoromakoroma humo ndani,anapenda kuona unakemea kemea vitu visipoenda vizuri.Anaweza akawa anaonyesha kuchukizwa kwa nje ila jua kwa ndani anakukubali balaa.Kosa kubwa wanalofanya maSIMP ni kutaka kumfurahisha mwanamke usoni wakati mwenzie anamchora.
Mwanamke ni kiumbe mnafiki kuliko wote hapa duniani.Ni heri usimamie msimamo wako kuliko kumsikiliza.
Utachepuka utafanya kila ushenzi atasamehe.Ila hawezi kusamehe wewe kuonyesha udhaifu wa kushindwa kumtawala.📌📌📌
Hawa wendawazimu wa dini mimi huwa nawashangaa sana.Hivi mtu hata tu kwa kutumia akili ya kawaida unashindwaje kuona mbona ukiristo huohuo kupitia papa wa Vatcan wameamend sheria na kuaccomodate USHOGA.Watu wanaleta Dini kwenye Utawala wa Familia.
Ooh! Ukristo hakuna kuachana.
Jitu kama halifuati amri, sheria na mifumo ya himaya Yako hakuna Cha dini Wala tamaduni Wala mapokeo. Hapo ni kutengua tuu
Tunatawala kibabe ila mwisho wasiku unakuta unatawala pesa na watoto wako tu , mwanamke ni mama yako bwashee
Kauli Yako ya kusema Ukiona Familia Inashida Somewhere Ujue Mwanaune ndo kafeli iko sahihi kwa 102%
Na wanaume ni wachache sana sikuizi.
Kuna wanaumedada wengi sana.
Moja sababu ya kuitwa mkorofi kwenye mapenzi ni kukataa kusumbuliwa na mwanamke na kubembeleza kama vile napata hela.
Tumekuwa na generation ya wanaume dhaifu kwa kisingizio cha gentleman
Mtoa maada umeeleweka shida vijana wanapenda kulelewa so they exchange power with services they are getting services but they don't have power
Wanaume hawasemi sn lkn wanachopitia ni zaidi ya unachocomment humu ktk jamii ilio kwenye wkt mgumu kifikra kwa sasa ni wanaumeMadogo bado hamjayajua maisha omba ya sikukute bwashee. Karibu bia .
Hawa wendawazimu wa dini mimi huwa nawashangaa sana.Hivi mtu hata tu kwa kutumia akili ya kawaida unashindwaje kuona mbona ukiristo huohuo kupitia papa wa Vatcan wameamend sheria na kuaccomodate USHOGA.
📌Hawa manyumbu waendelee kuendeshwa tu na wake zao akili hawana.