Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

Moja ya dalili ya Mwanaume dhaifu ni kuukataa ukweli.

Ila kuna umri ukifika ukweli hautaukimbia. Utakubali kuwa wewe ndiye mwenye Makosa
Mkuu bado nasisitiza upo shallow sana. Mada hii ni kubwa sana kwako. Zungumza na watu tofauti walioishi katika ndoa au unyumba kwa miaka 10, 20, 30 na kuendelea watakupa picha halisi na experience tofauti.
Kama umeishi chini ya miaka 10 katika ndoa au unyumba bado sana safari ni ndefu.
 
Not always the case
 
Powerful content.
 
Mkuu Mtibeli, Ulishawai kuowa na kukaa na Mwanamke hata miaka miwili hivi ukayajuwa yaliyomo?
Kwamba tukipewa Ile kitu tunasahau Dharau zao zote?

Mana Siraha Yao kubwa ni uch tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…