Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
MwiziWadau mmnasemaje 🤣
Haha sawa mkuu😂😂Mwizi
Wewe shikiria hapo hapo jua hivyo tu ni mwizi
Wametafuta wenyewe?😂At 30? Ndiyo inawezekana sana.
Mimi kwa umri huo sikuwa na hiyo hela. Ila kuna vijana kwa umri huo hiyo hela wanayo na hata zaidi.
Sema WeziAt 30? Ndiyo inawezekana sana.
Mimi kwa umri huo sikuwa na hiyo hela. Ila kuna vijana kwa umri huo hiyo hela wanayo na hata zaidi.
😂Sema Wezi
Sawa mkuuStatus ya maisha yako, yanakukutanisha na watu wa level zako.
Vijana wapo wengi tu mwenye hiyi 100M na si za urithu
Kwann mkuuTakataka tu
Sema Wezi usilambelambe manenoStatus ya maisha yako, yanakukutanisha na watu wa level zako.
Vijana wapo wengi tu mwenye hiyi 100M na si za urithu
Wewe unaonaje mkuuHivi kwel kijana wa under30 anaweza miliki zaid ya m100? Kwa kuzitafuta yeye mwenyewe.
Hakuna Ila za kuiba bila kukamatwa labda,Hivi kwel kijana wa under30 anaweza miliki zaid ya m100? Kwa kuzitafuta yeye mwenyewe.
Wezi wewe jua hivyo tu, ref: nitakupa ukihitajiKuna vijana wadogo wapo vizuri mno kiuchumi japo ni ngumu kujua ukweli wa njia za mafanikio ya mtu.