Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅We endelea kuwaona wenzako ni wizi wakati ndo wanachanja mbuga hivyooo.
Wakati mwingine unaweza ukawa unamtafuta mchawi kumbe mchawi mwenyewe ndio wewe.
Acha vitishoUtabaki hapo hapo ..endelea kutusindikiza na kupika majungu utatoboa .
Una Kila dalili za kuwa MwiziAliyesema hivyo ni mpumbavu sana na maskini wa kifikra. Siasa za ujamaa na kujitegemea ziliharibu sana fikra za watu na kudhani utajiri ni dhambi. Hadi nyakati hizi kwenye kampeni za uchaguzi wagombea hufanya maigizo kwamba wao ni maskini tu kama wapiga kura. Wapiga kura nao kwa kutaka kampani ya umaskini huishia kuwapigia kura wagombea wa aina hii. Tanzania utakuta mtu kama Fred mwenye umri wa zaidi ya miaka 35 anaitwa tajiri kijana wakati dunia ya leo ina mamilionea wenye miaka chini ya 25. Fikra kama hizo ndo zimefanya nchi kuendelea kupoteza pesa kwenye miradi kama BBT kwa kudhani kuna utajiri wa vikundi badala ya kuwawezesha vijana ambao tayari wako kwenye kilimo. Umaskini ni fedheha, tuukatae. Utajiri sio dhambi wala uhalifu.
Wazee wetu wengi hawataki kabisa changamoto mpya toka kwa vijana. Mimi niliwahi kuwa mwalimu wa sekondari kwa miezi kadhaa kabla sijaenda chuo.. nakumbuka niliandaa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha pili nikayaweka kwenye wastani na madaraja (division). Mkuu wa shule akaniambia hiyo haifai yabadilishe kwenye report form isome wastani tu. Mambo ya division hadi form four. Nikashangaa sana na ninakumbuka waalimu wazoefu walinicheka na kusema TULIKUAMBIA. Miaka kadhaa mbele NECTA wanatoa matokeo ya form II kwa division. Kama lile wazo lingechukuliwa tungekuwa mbali sana ila kwa sababu ndo kwanza nilikuwa mdogo wa umri miaka 20 kasoro nikapuuzwa.
Ni kweli kabisa. Mama yako analifahamu hilo kiundani.Una Kila dalili za kuwa Mwizi
Kuna dogo yupo sehemu x aliwekwa na mzee wake ambapo kwa mwez mshahara tu analamba 10+m bado marupu rupu na ma bonus mengine na yupo under 30 je huyu kuwa na 100m ni ajabu?Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana?
Je mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Swadakta!Aliyesema hivyo ni mpumbavu sana na maskini wa kifikra. Siasa za ujamaa na kujitegemea ziliharibu sana fikra za watu na kudhani utajiri ni dhambi. Hadi nyakati hizi kwenye kampeni za uchaguzi wagombea hufanya maigizo kwamba wao ni maskini tu kama wapiga kura. Wapiga kura nao kwa kutaka kampani ya umaskini huishia kuwapigia kura wagombea wa aina hii. Tanzania utakuta mtu kama Fred mwenye umri wa zaidi ya miaka 35 anaitwa tajiri kijana wakati dunia ya leo ina mamilionea wenye miaka chini ya 25. Fikra kama hizo ndo zimefanya nchi kuendelea kupoteza pesa kwenye miradi kama BBT kwa kudhani kuna utajiri wa vikundi badala ya kuwawezesha vijana ambao tayari wako kwenye kilimo. Umaskini ni fedheha, tuukatae. Utajiri sio dhambi wala uhalifu.
Wazee wetu wengi hawataki kabisa changamoto mpya toka kwa vijana. Mimi niliwahi kuwa mwalimu wa sekondari kwa miezi kadhaa kabla sijaenda chuo.. nakumbuka niliandaa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha pili nikayaweka kwenye wastani na madaraja (division). Mkuu wa shule akaniambia hiyo haifai yabadilishe kwenye report form isome wastani tu. Mambo ya division hadi form four. Nikashangaa sana na ninakumbuka waalimu wazoefu walinicheka na kusema TULIKUAMBIA. Miaka kadhaa mbele NECTA wanatoa matokeo ya form II kwa division. Kama lile wazo lingechukuliwa tungekuwa mbali sana ila kwa sababu ndo kwanza nilikuwa mdogo wa umri miaka 20 kasoro nikapuuzwa.
Kwa umri huo, unawezaje kuwa na milioni 100!Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Yule anaingia kwenye Betting mhivi yule kijana wa jangid plaza anawekwa kundi gani?
Linawezekana kabisa. Vijana wa mbao, madini na biashara za kkoo under 30 hyo hela wanayo kabisa tena from the scratch.Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Kama mawazo yako ndio hayo, basi nakupa pole.Ningumu aisee kwa mchi hii! yaan haiwezekani hao watajifariji hapo lakin haiwezekani
Plus ukubwa wa dili zinazofanyika.kwa wale waliobahatika kukutana na watu wenye focus wakiwa kwenye 20s .