Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!

Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?

Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Beti ipi inayompa mtu Utajiri?
 
Kumiliki 100m sidhan kama ni utajiri.

Binafsi umri wangu bado haujafika hapo kwenye 30. Ila kutokana na kazi na mshahara wangu nakopesheka mpaka mil 100 nikitaka.

Je hapo nakuwa tajiri?
Pesa ya kukopa sio saving yako binafsi,mkopo unahesabika ni deni(liability) na muda wowote inaweza kukirudisha nyuma mara mbili zaidi ya ulivyokuwa.
Mtoa mada anaongelea uhalisia wa mazingira halisi na mifumo ya kitanzania je inawezekana kwa kijana wa miaka 30 awe na saving ya milioni 30 yaani baada ya kufanya matumizi yote muhimu kwenye akaunti yako ibakie milioni 30.
Sasa cha ajabu watu wanambeza mtoa mada na kila mtu anakuja na mifano ya kusimuliwa na rafiki yake ambaye hatujui huyo rafiki yake alikuwa sahihi au alijikweza tu kwa maneno matupu.
 
Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!

Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?

Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Huo ndio ukweli ni awe jambazi au Utajiri wa Wazazi au anatumiwa kwenye biashara ya Madawa.

Tofauti na hapo ni ngumu kukuelezea uhalali wa Utajiri wake tofauti na hizo njia hapo.

Ila wapo wenye pesa Kwa kupambana na kubahatisha Kwa level ya pesa sio level ya Utajiri.
 
Watu wanapeana moyo tu humu.
-Inshort inawezekana ila hue umewahi kugraduate.
-At least kwe age ya 23 tayari ushamaliza masomo.
-Pia hue street smarter
-Huwezo wakutengeneza connections then unawin

But hivi vyote sio simple kabisa kwa kijana wa TZ.
-Watu wanachowin saiv ni kugraduate mapema.
-But kama umetokea familia masikini ni mtihani.
-Kuwin hustle za mtaa nazo nikama bet sio simple.
-Connections nazo pia kutengeneza ni ngumu.

Mifumo yakitanzania labda ukafanye kwenye upande wa burudani ndo atlist unaweza jikuta ndani ya iyo miaka 7 kutoka 23 utakua ushawin lakini na kwenyewe ni kwakujitoa akili sana.

Tofauti na hapo tusidanganyane kua ni simple na ndo maana kwenye vijana 100 unaweza kuta wakushika 100M net PFT bila msaada wa wazaz au ndugu basi ni mmoja kati ya hao wote.

Fanya kuangalia hawa street winners then piga hesabu walianza kushika pesa 100M umri gani na hustle zao zilianza lini ndo ugundue sio simple.

MillardAyo - Born 1986 Age 37
Diamond - Born 1989 Age 34
Samatta - Born 1992 age 31
Joti - Born 1982 age 41

Chukua izo sample walau calculate then upate majibu.
 
Nam
 
Kuna vijana tuseme wa kichaga wanaanza kupambana katika umri mdogo kabisa hivyo ni rahisi kuipata hiyo mil. 100 katika miaka 30.......tuseme tu wapo ila ni wale wenye hulka ya kijasiriamali ambao walianza kupambana katika umri mdogo labda miaka 20 na hawa watakuwa waliiweka shule pembeni kwanza.
 
hata under 25 anaweza kuwa na 100M.. Akili, Mazingira, Watu waliokuzunguka na Ujasiri
 
Aliyesema hivyo ni mpumbavu sana na maskini wa kifikra. Siasa za ujamaa na kujitegemea ziliharibu sana fikra za watu na kudhani utajiri ni dhambi. Hadi nyakati hizi kwenye kampeni za uchaguzi wagombea hufanya maigizo kwamba wao ni maskini tu kama wapiga kura. Wapiga kura nao kwa kutaka kampani ya umaskini huishia kuwapigia kura wagombea wa aina hii. Tanzania utakuta mtu kama Fred mwenye umri wa zaidi ya miaka 35 anaitwa tajiri kijana wakati dunia ya leo ina mamilionea wenye miaka chini ya 25. Fikra kama hizo ndo zimefanya nchi kuendelea kupoteza pesa kwenye miradi kama BBT kwa kudhani kuna utajiri wa vikundi badala ya kuwawezesha vijana ambao tayari wako kwenye kilimo. Umaskini ni fedheha, tuukatae. Utajiri sio dhambi wala uhalifu.

Wazee wetu wengi hawataki kabisa changamoto mpya toka kwa vijana. Mimi niliwahi kuwa mwalimu wa sekondari kwa miezi kadhaa kabla sijaenda chuo.. nakumbuka niliandaa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha pili nikayaweka kwenye wastani na madaraja (division). Mkuu wa shule akaniambia hiyo haifai yabadilishe kwenye report form isome wastani tu. Mambo ya division hadi form four. Nikashangaa sana na ninakumbuka waalimu wazoefu walinicheka na kusema TULIKUAMBIA. Miaka kadhaa mbele NECTA wanatoa matokeo ya form II kwa division. Kama lile wazo lingechukuliwa tungekuwa mbali sana ila kwa sababu ndo kwanza nilikuwa mdogo wa umri miaka 20 kasoro nikapuuzwa.
Sio dhambi ni haki ya mtu kua tajiri tulichosema kwenye maada labda kidogo haujakielewa vyema pale maada haijakataa kijana mdogo kua tajiri lakini Kwa age hio nikwanjia gani amepita na kua pesa hio ndio swali

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Ninayemjua Ni sirjeff Dennis na yule scot pizza
 
Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!

Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha?

Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Yani ubeti uwe tajiri?tafuta pesa kijana
 
Sio dhambi ni haki ya mtu kua tajiri tulichosema kwenye maada labda kidogo haujakielewa vyema pale maada haijakataa kijana mdogo kua tajiri lakini Kwa age hio nikwanjia gani amepita na kua pesa hio ndio swali

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Na wewe ni mpumbavu kama mleta mada. Hizo njia alizopita si mngeenda kumuuliza mhusika kabla ya kutamka kuwa ni mchawi au mwizi? Acheni fikra za kimaskini.
 
Back
Top Bottom