Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #21
Ili upate hiyo pesa ukiwa na miaka 20 inatakiwa uwe na uwezo waku save milioni 10 kila mwaka mfululizo kwa miaka 10. Je kijana wa miaka 20 atatoboa😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wezi hawakosekani na wasio wezi nao wamo.Wezi wewe jua hivyo tu, ref: nitakupa ukihitaji
Wengi Kuna Siri nzitoKuna vijana wadogo wapo vizuri mno kiuchumi japo ni ngumu kujua ukweli wa njia za mafanikio ya mtu.
Kweli mkuuWezi hawakosekani na wasio wezi nao wamo.
😂😂😂 Inatokea unapiga bingoKumbe betting inalipa kiasi hicho
🤣🤣Wizi na uchawi
Naam mkuuAliyesema hivyo ni mpumbavu sana na maskini wa kifikra. Siasa za ujamaa na kujitegemea ziliharibu sana fikra za watu na kudhani utajiri ni dhambi. Hadi nyakati hizi kwenye kampeni za uchaguzi wagombea hufanya maigizo kwamba wao ni maskini tu kama wapiga kura. Wapiga kura nao kwa kutaka kampani ya umaskini huishia kuwapigia kura wagombea wa aina hii. Tanzania utakuta mtu kama Fred mwenye umri wa zaidi ya miaka 35 anaitwa tajiri kijana wakati dunia ya leo ina mamilionea wenye miaka chini ya 25. Fikra kama hizo ndo zimefanya nchi kuendelea kupoteza pesa kwenye miradi kama BBT kwa kudhani kuna utajiri wa vikundi badala ya kuwawezesha vijana ambao tayari wako kwenye kilimo. Umaskini ni fedheha, tuukatae. Utajiri sio dhambi wala uhalifu.
Wazee wetu wengi hawataki kabisa changamoto mpya toka kwa vijana. Mimi niliwahi kuwa mwalimu wa sekondari kwa miezi kadhaa kabla sijaenda chuo.. nakumbuka niliandaa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha pili nikayaweka kwenye wastani na madaraja (division). Mkuu wa shule akaniambia hiyo haifai yabadilishe kwenye report form isome wastani tu. Mambo ya division hadi form four. Nikashangaa sana na ninakumbuka waalimu wazoefu walinicheka na kusema TULIKUAMBIA. Miaka kadhaa mbele NECTA wanatoa matokeo ya form II kwa division. Kama lile wazo lingechukuliwa tungekuwa mbali sana ila kwa sababu ndo kwanza nilikuwa mdogo wa umri miaka 20 kasoro nikapuuzwa.
Ukweli Ni upiSio kweli
Niamini Mimi hakuna kijana wa hivyo, ukimkuta basi jua kaiba Madini somewhere hajashtukiwa, nimekupa ref: hio hapoIli upate hiyo pesa ukiwa na miaka 20 inatakiwa uwe na uwezo waku save milioni 10 kila mwaka mfululizo kwa miaka 10. Je kijana wa miaka 20 atatoboa😂
Siri yako nguvu yakoWengi Kuna Siri nzito
Kwa hil ushauri wako vijana waendelee kupiga billion au wazikaushie kwanza?Aliyesema hivyo ni mpumbavu sana na maskini wa kifikra. Siasa za ujamaa na kujitegemea ziliharibu sana fikra za watu na kudhani utajiri ni dhambi. Hadi nyakati hizi kwenye kampeni za uchaguzi wagombea hufanya maigizo kwamba wao ni maskini tu kama wapiga kura. Wapiga kura nao kwa kutaka kampani ya umaskini huishia kuwapigia kura wagombea wa aina hii. Tanzania utakuta mtu kama Fred mwenye umri wa zaidi ya miaka 35 anaitwa tajiri kijana wakati dunia ya leo ina mamilionea wenye miaka chini ya 25. Fikra kama hizo ndo zimefanya nchi kuendelea kupoteza pesa kwenye miradi kama BBT kwa kudhani kuna utajiri wa vikundi badala ya kuwawezesha vijana ambao tayari wako kwenye kilimo. Umaskini ni fedheha, tuukatae. Utajiri sio dhambi wala uhalifu.
Wazee wetu wengi hawataki kabisa changamoto mpya toka kwa vijana. Mimi niliwahi kuwa mwalimu wa sekondari kwa miezi kadhaa kabla sijaenda chuo.. nakumbuka niliandaa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha pili nikayaweka kwenye wastani na madaraja (division). Mkuu wa shule akaniambia hiyo haifai yabadilishe kwenye report form isome wastani tu. Mambo ya division hadi form four. Nikashangaa sana na ninakumbuka waalimu wazoefu walinicheka na kusema TULIKUAMBIA. Miaka kadhaa mbele NECTA wanatoa matokeo ya form II kwa division. Kama lile wazo lingechukuliwa tungekuwa mbali sana ila kwa sababu ndo kwanza nilikuwa mdogo wa umri miaka 20 kasoro nikapuuzwa.
😅Siri yako nguvu yako
Sogea Geita hapo ushangae, vijana wa madini na hawajui kusoma wala kuandikaKauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana?
Je mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Iga udakwe, watu wanacheza deals hatari hawalali usiku mzima wanakesha macho wazi wanacheza deals hatari za kitapeli ambazo ukionyeshwa jinsi wanavyotapeli na kuwaibia watu macho yanakutoka, ref: ninazo ukihitaji nitakupaWengi Kuna Siri nzito
Nitasogea mkuuSogea Geita hapo ushangae, vijana wa madini na hawajui kusoma wala kuandika
Huu ni umasikini mkubwa sana wa fikra.Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli!
Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana?
Je mifumo na mazingira yanawezesha?
Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa Cha mada hii?
Huu ni umasikini mkubwa sana wa fikra.
Kwahiyo kijana wa under 25th akimiliki 100 millions, huyo anatafasiriwa kama tajiri..😳