Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

Pesa ni pesa.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Kila mtu atumie akili zake.
Kila mtu atumie mazingira yake.
Kila mtu amtegemee Mungu wake.
Kila mtu aitegemee bidii yake.
Mwisho kabisa, pesa ni pesa, iwe ya urithi, ya dili au ya wizi. Pesa ni tamu.
 
Muulize NALIA NGWENA na Caraso putin watakupa jibu ikiwa ni kweli
 
Wee mzee maisha yamekuchangaya 😂 kama kwenye ujana wako hukutafta matokeo yake unakuja kulaumu vijana wenye pesa nyingi kuliko wewe na kuanza kuwahisi ni wezi unasahau kwamba
 
Wee mzee maisha yamekuchangaya 😂 kama kwenye ujana wako hukutafta matokeo yake unakuja kulaumu vijana wenye pesa nyingi kuliko wewe na kuanza kuwahisi ni wezi unasahau kwamba
Soma Tena uelewe vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…