Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nyie si ndio mlikuwa mnashangilia Magufuli alipowaita wazungu mabeberu saivi mnashangilia tena chigu Hangaya kuwapigia magoti? Ccm manafiki mpaka kichefu chefu.Story za kusadikika
"Nyie" kwanza niondoe kwenye hilo kundi la wajinga wenzio.Nyie si ndio mlikuwa mnashangilia Magufuli alipowaita wazungu mabeberu saivi mnashangilia tena chigu Hangaya kuwapigia magoti? Ccm manafiki mpaka kichefu chefu.
Kauli nzito sana; nimeipenda.Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ubongo wako unakinyesiUsikariri ujingaujinga.Eti mabeberu!Beberu wa makalio!
Kilichochafua mto Mara?Ubongo wako unakinyesi
Madhara ya kukosa elimu.Kwel akili za kifugaji ni za kifugaji maisha yote, ww una declare isolation na unaowaita mabeberu lkn hata shujaa wako alikua anawategemea kwa misaada na kweny budget ya NCHI! U can't escape em maybe ukubali some strong consequences ambazo zitaturudisha Zimbabwe. Wazungu ni kuishi nao kwa akili na kuwanafiki ili uendelee kujijenga! Huez anzisha vita ya uchumi na mabeberu ukatoboa labda kwa mataifa yenye nguvu.
Cku zote huez jibu hoja, unakimbiakimbia kama nguchiro!!Madhara ya kukosa elimu.
Wewe kwa upuuzi uliopost hapo ndio hoja?Cku zote huez jibu hoja, unakimbiakimbia kama nguchiro!!
Kweli nimeamini maneno ya zito.. washamba hawawez ongoza NCHI!!Wewe kwa upuuzi uliopost hapo ndio hoja?
Sasa hayo yanahusika vipi hapa?Kweli nimeamini maneno ya zito.. washamba hawawez ongoza NCHI!!
Kachunge ng'ombe huko, shubaaamit!!Sasa hayo yanahusika vipi hapa?