Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Wapi? ShenziKachunge ng'ombe huko, shubaaamit!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi? ShenziKachunge ng'ombe huko, shubaaamit!!
Akili ndogo sana hizi. Ati na wewe unaitwa great thinker????Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa Drc.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
We kama una elimu basi uliiba mitihani. Hata ile DS Ya first year ulifeli itakuwa!Madhara ya kukosa elimu.
Wasaliti huwa watu wa karibu sana Thomas Sankara na Compaore, Lumumba na Mobutu.Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa Drc.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Kudandia mada ambazo hata huna uwezo nazo. Kichwa kimejaa kinyesi.Akili ndogo sana hizi. Ati na wewe unaitwa great thinker????
Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa kujitenga na mataifa mengine.
Ulichonacho wewe ni malighafi lazima nipate viwanda / process ili ziwe bidhaa
Sijui hata mlisomaga wapo?
Unavyotype inaonyesha hata form four hukumaliza.Akili ndogo sana hizi. Ati na wewe unaitwa great thinker????
Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa kujitenga na mataifa mengine.
Ulichonacho wewe ni malighafi lazima nipate viwanda / process ili ziwe bidhaa
Sijui hata mlisomaga wapo?
Una hasira tu....Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa Drc.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Tuone nini? Tunavyonyonywa?Ngoja tuone...
Acha uongo vipi M7 na Pk huko??Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa Drc.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Kajenga chato na kununua wapinzani na sijui ile 1.5 Trillion( C.A.G Assad) sijui alipeleka wapi..? Kanunua wapinzani kwa hela za walipa kodi kaitia nchi hasara mnoDola 300m za kishika uchumba toka kwa mabeberu Barrick za kuwapa madini yetu alizipeleka wapi mwendazake?
Kabisa. Shujaaa alikua wa hovyo saana. Mtu anatudanganya mabeberu nyenyenyenye akimaliza kudanganya anaenda kuwalilia mabeberu wamkopeshe ajenge miradi yake kwa hela za mabeberu. Aibuinawezekana kabisa li- jiwe ndilo lilikuwa li- raisi fisadi kuliko hata mobutu kuku wazabanga
AhaaaKilichochafua mto Mara?
Wamefanyaje?Acha uongo vipi M7 na Pk huko??
Kwani wewe unajua mabeberu ni watu gn?,wamakua na wanakonde?,hebu jipambanue uelewa wako,"Nyie" kwanza niondoe kwenye hilo kundi la wajinga wenzio.
Siko upande wa mtu,chama, au itikadi yoyote
Na hakuna mahal nimeshangilia maguful kuwaita watu weupe mabeberu. Check your facts
Unawajua ww ulio waelezea. So kama una definition yako of so called "beberu" haina haja ya kuelezea yangu hapaKwani wewe unajua mabeberu ni watu gn?,wamakua na wanakonde?,hebu jipambanue uelewa wako,