Ukiona kiongozi yeyote wa Afrika aliye karibu na Mabeberu tambua kuwa huyo yupo tayari kuwasaliti watu wake kama alivyofanya Mobutu Sese Seko

Akili ndogo sana hizi. Ati na wewe unaitwa great thinker????
Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa kujitenga na mataifa mengine.
Ulichonacho wewe ni malighafi lazima nipate viwanda / process ili ziwe bidhaa
Sijui hata mlisomaga wapo?
 
Wasaliti huwa watu wa karibu sana Thomas Sankara na Compaore, Lumumba na Mobutu.
 
Akili ndogo sana hizi. Ati na wewe unaitwa great thinker????
Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa kujitenga na mataifa mengine.
Ulichonacho wewe ni malighafi lazima nipate viwanda / process ili ziwe bidhaa
Sijui hata mlisomaga wapo?
Kudandia mada ambazo hata huna uwezo nazo. Kichwa kimejaa kinyesi.
 
Akili ndogo sana hizi. Ati na wewe unaitwa great thinker????
Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa kujitenga na mataifa mengine.
Ulichonacho wewe ni malighafi lazima nipate viwanda / process ili ziwe bidhaa
Sijui hata mlisomaga wapo?
Unavyotype inaonyesha hata form four hukumaliza.
 
Una hasira tu....
 
Acha uongo vipi M7 na Pk huko??
 
Dola 300m za kishika uchumba toka kwa mabeberu Barrick za kuwapa madini yetu alizipeleka wapi mwendazake?
Kajenga chato na kununua wapinzani na sijui ile 1.5 Trillion( C.A.G Assad) sijui alipeleka wapi..? Kanunua wapinzani kwa hela za walipa kodi kaitia nchi hasara mno
 
inawezekana kabisa li- jiwe ndilo lilikuwa li- raisi fisadi kuliko hata mobutu kuku wazabanga
 
inawezekana kabisa li- jiwe ndilo lilikuwa li- raisi fisadi kuliko hata mobutu kuku wazabanga
Kabisa. Shujaaa alikua wa hovyo saana. Mtu anatudanganya mabeberu nyenyenyenye akimaliza kudanganya anaenda kuwalilia mabeberu wamkopeshe ajenge miradi yake kwa hela za mabeberu. Aibu
 
You are such a conspiracy theorist! Kwa kupenda wauaji unataka kusema JPM alikuwa bora, kisa wapinzani ambako ulitoka waliuliwa na kulemazwa. What a son of Satan you are nowadays!? Pua pua pua (kwa sauti ya Steve Nyerere)
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…