inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ndiyo ulipoegemea!!??..mmppumbavu tu kumbe!!Huwezi kumpenda Mugabe kwasababu alimuumbua baba yako na unafiki wake!
1980 mpaka 2001 ni miaka mingapi!?Aliwanyang’anya mashamba wazungu baada ya Uingereza kukiuka makubaliano ya kuwa wangetoa compensation ya hayo mashamba ili serikalini ya Zimbabwe iweze kuyanunua na kuwagawia wazawa!
Unajua taarifa hizo?
Kumbe na wewe mjinga kama baba yako! Muda wote waingereza walikuwa wanasuasua kutimiza makubaliano kwani walidharau walifikiri kuwa serikali ya Zimbabwe ilikuwa haina options mpaka pale mashamba yalipotaifishwa !!1980 mpaka 2001 ni miaka mingapi!?
Nimekuuliza 1980 alipopata Uhuru mpaka 2001 alipotaifisha mashamba ni muda gani!?..acha kuzunguka,muda wote huo alingoja nini kutaifisha,Kama si ukibaraka!?..alipoona mdc unakuja juu,akaja na gia ya kutaifisha mashamba,hayo makubaliano unayoyasema yapi na walikubaliana yaanze kutimizwa lini!?Kumbe na wewe mjinga kama baba yako! Muda wote waingereza walikuwa wanasuasua kutimiza makubaliano kwani walidharau walifikiri kuwa serikali ya Zimbabwe ilikuwa haina options mpaka pale mashamba yalipotaifishwa !!
Umeelewa wewe mpumbavu.
Unajua kuwa Mwalimu alikuwa instrumental kwenye mazungumzo mpaka makubaliano ya Uhuru wa Zimbabwe na ardhi was one of the sticking points hata kidogo mazungumzo yavunkike ndipo mwalimu akaingilia kati na kuwashawishi kukubali kuwa compensation ya ardhi ingelipwa baadae. Uingereza ignored their commitment mpaka pale ZanuPf walipoamua kuchukua mashamba kama walivyowaahidi wananchi wakati wa independence!Nimekuuliza 1980 alipopata Uhuru mpaka 2001 alipotaifisha mashamba ni muda gani!?..acha kuzunguka,muda wote huo alingoja nini kutaifisha,Kama si ukibaraka!?..alipoona mdc unakuja juu,akaja na gia ya kutaifisha mashamba,hayo makubaliano unayoyasema yapi na walikubaliana yaanze kutimizwa lini!?
Magufuli au Jiwe ile pacemaker yake aliwekewa kwa mabeberu kule Uingereza mwaka 1984. Nyerere alifia kwa mabeberu pia Uingereza. Hawa mataahira wanaodanganywa ovyo na akina Polepole na jiwe lenyewe ebu wanyamaze. Kwa mabeberu ndiyo kunakotoka kila kitu hadi baiskeli za wasukuma...Paskali upo?Kuna watu bado mnaishi Miaka 30 nyuma !
Hivi Kwa muktadha wa Sasa Beberu ni nani?!
Unakua kama Jiwe aliwaita Wazungu Mabeberu hàlafu ,hata dawa alizokuwa anazitumia anapewa na Mabeberu!
Na mikopo ya kufa mtu!
Dunia imebadilika sana kijana!.hayo ya Mabeberu yaache kwenye Mitihani ya Shule!
Hivi unajua kuwa Makaburu na Mabeberu ya Afrika Kussini ,yalibadilika ghafla kuwa Wawekezaji na Wadau wa Maendeleo ghafla tu baada ya Mandela kutolewa Gerezani!
Kuwa sore hakumaanisha kuwa hakuwa kibaraka,walimvurugia uchumi,safari za uingereza kapiga nyingi tu kabla ya 2001Unajua kuwa Mwalimu alikuwa instrumental kwenye mazungumzo mpaka makubaliano ya Uhuru wa Zimbabwe na ardhi was one of the sticking points hata kidogo mazungumzo yavunkike ndipo mwalimu akaingilia kati na kuwashawishi kukubali kuwa compensation ya ardhi ingelipwa baadae. Uingereza ignored their commitment mpaka pale ZanuPf walipoamua kuchukua mashamba kama walivyowaahidi wananchi wakati wa independence!
Zimbabweans went to war to liberate their country because of their land! Suala la Mdc kuja juu kisiasa halibadirishi umuhimu wa wazimbabwe kurudishiwa ardhi yao! Mugabe mpaka anakufa was a sore to the western world unlike nyinyi compradors.
Kuwa mshamba kama MAGU NA MUGABE ni afadhali!Kweli nimeamini maneno ya zito.. washamba hawawez ongoza NCHI!!
Huwezi kuwa a SORE to the westerners at the same time ukawa kibaraka , it’s a contradiction! You should know better.Kuwa sore hakumaanisha kuwa hakuwa kibaraka,walimvurugia uchumi,safari za uingereza kapiga nyingi tu kabla ya 2001
He licked the boot for fucking long time broHuwezi kuwa a SORE to the westerners at the same time ukawa kibaraka , it’s a contradiction! You should know better.
Walimvurugia uchumi kwasababu he refused to be a boot licker! Alikuwa n msimamo thabiti!!
Umeonesha heshima I shall leave you at that! Be safe.He licked the boot for fucking long time bro
Hao vichaa dizaini ya kina Lumumba ni kuwafyeka mapema kabisa kabla hata hawajajulikana..Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Sehemu kubwa Africa imelaaniwaMobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Urusi mwenyewe anajamba pamoja na kwamba ana nguvuKwel akili za kifugaji ni za kifugaji maisha yote, ww una declare isolation na unaowaita mabeberu lkn hata shujaa wako alikua anawategemea kwa misaada na kweny budget ya NCHI!
U can't escape em maybe ukubali some strong consequences ambazo zitaturudisha Zimbabwe. Wazungu ni kuishi nao kwa akili na kuwanafiki ili uendelee kujijenga! Huez anzisha vita ya uchumi na mabeberu ukatoboa labda kwa mataifa yenye nguvu.
Kukaa na aliyeendelea na kufanya naye kazi si dhambi - hawa ndiyo wale ukipata jirani ana Magari na nyumba nzuri UNAMNUNIA. Kanuni ni kwamba aliyekuzidi hanuniwi bali tafuta njia bora ya kushirikiana naye ili walau upate hata masalia masalia ukawagawie wanao.Mobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.K
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Una hakika kuwa hapo ulikuwa na maana ya Lumumba? Au ulitaka kuandika Mobutu?Hao vichaa dizaini ya kina Lumumba ni kuwafyeka mapema kabisa kabla hata hawajajulikana..
For sure Lumumba,,mtu yeyote mwenye mawazo ya kijamaa kwangu ni halali kuchinjiwa mbaliUna hakika kuwa hapo ulikuwa na maana ya Lumumba? Au ulitaka kuandika Mobutu?