ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kondom ni takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah kuna baadhi ya wanawake wanakuwa na ushetani kuliko hata shetani mwenyewe.Ukiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa 🍑lote huku akishika 🍆, nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba
Hiyo kitaalamu inaitwa double impact 😂Daah kuna baadhi ya wanawake wanakuwa na ushetani kuliko hata shetani mwenyewe.
kuna manzi mmoja alikuwaga jirani yangu, tukazoena akaanza kuonesha kama kunielewa ila mimi sikumuelewa kabisa. basi mazoea yakazidi akawa anakuja ghetto, ananisimulia mambo yake then anaondoka...nilikuwa simfanyi chochote.
alikuwa single maza watoto wawili(mapacha)Stori aliyonipa kuhusu mtu aliyezaa naye ndo iliongezea kutokumkubali kabisa yaani.....basi kuna muda anarudi usiku amelewa, ananigongea ghetto kwangu anaforce nikala kwenye ghetto lake nikawa nakaza kidume.....alikuwa anachukia sana..
ataninunia maybe siku mbili akiona na mimi kimya ataanza kunitext, nimekumiss, blah blah kibao...kwakuwa tulikuwa jirani tu basi anakuja ghetto, akifika kama nipo nimejilaza kitandani, ananirukia then anaanza romance...nikawa nagoma na mwambia acha upuuzi wewe....alikuwa anaumia sana.
kilichokuwa kinanipa wasiwasi ni ile lifestyle yake, kwa uzuri alikuwa mzuri watu wengi kitaa walikuwa wanatamani kumpata na alikuwa anawakazia...alikuwa anapenda kuniambia jinsi anyowakatalia..hii kitu ndo ilikuwa inanikera huwa sipendi wanawake wanaopenda kuniaminisha ni waaminifu.
baada ya mitego yake mingi, niliishinda sikumla yule manzi hatimaye nikahama pale, nikahamia sehemu nyingine...comnunication nikakata kabisa, akawa ananicheki analakamika nimemsusa....nilim-skip denied....
kama miezi minne hivi nakuja kuona anaposti picha za mwanaye amejifungua, daaah nikabaki najiuliza kumbe muda wote huu alikuwa na mimba alitaka anibebeshe zigo la mavi....na mpaka leo hajajulikana ni mimba ya na nani, amekuwa single, singular maza....
Hakika...Hiyo kitaalamu inaitwa double impact 😂
Alitaka akupe jukumu la ubaba, tamaa usipozishinda kifuatacho ni majuto, tuwe makini kuna vitu sio vya kuendekeza hata kama kuchomoka ni ngumu. Kichwa cha chini kikishatuna huwa hakitaki kuelewa chochote ila kukishinda ni muhimu zaidi.
😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 mwanaume ukipata mtoto hajafanana na wewe chochote inabidi ujiulize sana (hata kama miezi imebalance)Sitasahau nililala na manzi after one week akanipea taarifa ana mimba nami nkasema isiwe kesi nkarekodi tar aliyonipa taarifa kwa note book yangu.nkaanza kuihesabia mimba miezi huku Huduma natoa.bwanaa inafika miezi mitatu naona mwenzangu tumbo kubwa Kama la yule baba anaetrend mtandaoni ana wrestle na wanyama nabaki na maswali mbona tumbo linakua kwa Kasi ya 5g.mara miezi sita naona mtoto kageuza kichwa chini miguu juu nkasema ohooooóo hapa nmepigwa kweli baba baada ya siku mbili mtu akjifungua.akanitumia taarifa nmejifungua nkasema mbona mapema mtoto njiti nini kwenda kucheki mtoto kazaliwa akiwa kamili.nlichoka vibaya mno mimba miezi sita ujifungue Toto likiwa na kilo 4.5.ila wanawake mtafika mbinguni mmetepeta sana
Kama yeye hajatulia bas the best way ni KATAA MAHUSIANO vipo vingi vya kufanya deal na hvyo then kwenye mahusiano tafuta tu wakuwa unapunguza makali siku zinaendaUtatulia wewe?? Vp yeye??
Wengi wa hivyo wanakuwa ni wale wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi hivyo wanafanya hivyo makusudi wakuambukize.Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom
Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ???
Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba sikuamini sababu sijui umekutana na wangapi na pia tunajiepusha na mimba zisizotarajiwa plus magonjwa ya zinaa.
Mwanamke ukikutana na mwanaume ambae anatumia kinga shukuru Mungu mana anajari afya yako na yake na sio kumlazimisha avue kisha yanafuata majuto.
Je wewe kijana mwenzangu ushawahi kukutana na mwanamke ambae anakuomba uvue kinga ili upige kavukavu na je uliuepuka vipi mtego huo ?
Aisee.Kondom ni takataka
Hilo lilinishinda nilivuliwa kwa nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom
Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ???
Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba sikuamini sababu sijui umekutana na wangapi na pia tunajiepusha na mimba zisizotarajiwa plus magonjwa ya zinaa.
Mwanamke ukikutana na mwanaume ambae anatumia kinga shukuru Mungu mana anajari afya yako na yake na sio kumlazimisha avue kisha yanafuata majuto.
Je wewe kijana mwenzangu ushawahi kukutana na mwanamke ambae anakuomba uvue kinga ili upige kavukavu na je uliuepuka vipi mtego huo ?
Jogoo anapanda mtungi kweli?Daah kuna baadhi ya wanawake wanakuwa na ushetani kuliko hata shetani mwenyewe.
kuna manzi mmoja alikuwaga jirani yangu, tukazoena akaanza kuonesha kama kunielewa ila mimi sikumuelewa kabisa. basi mazoea yakazidi akawa anakuja ghetto, ananisimulia mambo yake then anaondoka...nilikuwa simfanyi chochote.
alikuwa single maza watoto wawili(mapacha)Stori aliyonipa kuhusu mtu aliyezaa naye ndo iliongezea kutokumkubali kabisa yaani.....basi kuna muda anarudi usiku amelewa, ananigongea ghetto kwangu anaforce nikala kwenye ghetto lake nikawa nakaza kidume.....alikuwa anachukia sana..
ataninunia maybe siku mbili akiona na mimi kimya ataanza kunitext, nimekumiss, blah blah kibao...kwakuwa tulikuwa jirani tu basi anakuja ghetto, akifika kama nipo nimejilaza kitandani, ananirukia then anaanza romance...nikawa nagoma na mwambia acha upuuzi wewe....alikuwa anaumia sana.
kilichokuwa kinanipa wasiwasi ni ile lifestyle yake, kwa uzuri alikuwa mzuri watu wengi kitaa walikuwa wanatamani kumpata na alikuwa anawakazia...alikuwa anapenda kuniambia jinsi anyowakatalia..hii kitu ndo ilikuwa inanikera huwa sipendi wanawake wanaopenda kuniaminisha ni waaminifu.
baada ya mitego yake mingi, niliishinda sikumla yule manzi hatimaye nikahama pale, nikahamia sehemu nyingine...comnunication nikakata kabisa, akawa ananicheki analakamika nimemsusa....nilim-skip denied....
kama miezi minne hivi nakuja kuona anaposti picha za mwanaye amejifungua, daaah nikabaki najiuliza kumbe muda wote huu alikuwa na mimba alitaka anibebeshe zigo la mavi....na mpaka leo hajajulikana ni mimba ya na nani, amekuwa single, singular maza....
Kilo 4.5?Sitasahau nililala na manzi after one week akanipea taarifa ana mimba nami nkasema isiwe kesi nkarekodi tar aliyonipa taarifa kwa note book yangu.nkaanza kuihesabia mimba miezi huku Huduma natoa.bwanaa inafika miezi mitatu naona mwenzangu tumbo kubwa Kama la yule baba anaetrend mtandaoni ana wrestle na wanyama nabaki na maswali mbona tumbo linakua kwa Kasi ya 5g.mara miezi sita naona mtoto kageuza kichwa chini miguu juu nkasema ohooooóo hapa nmepigwa kweli baba baada ya siku mbili mtu akjifungua.akanitumia taarifa nmejifungua nkasema mbona mapema mtoto njiti nini kwenda kucheki mtoto kazaliwa akiwa kamili.nlichoka vibaya mno mimba miezi sita ujifungue Toto likiwa na kilo 4.5.ila wanawake mtafika mbinguni mmetepeta sana
Upewe maua 🌹 yako mkuuUkiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa 🍑lote huku akishika 🍆, nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba
Condom haiwezi kukukinga na dhambi ya uzinzi, ukiamua kuwa mzinzi piga kavu tu ufaidi maana dhambi ipo palepale.Mwanamke ukikutana na mwanaume ambae anatumia kinga shukuru Mungu mana anajari afya yako na yake na sio kumlazimisha avue kisha yanafuata majuto.
CHAI 🤣🤣🤣Ukiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa 🍑lote huku akishika 🍆, nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba
Jogoo anapanda mtungi kweli?