Ukiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa [emoji527]lote huku akishika [emoji533], nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba