π€£π€£π€£ liongo weweMkuu kuna vitu siwezi, kupima kwa macho siwezi. Kama ni uhuni kuishi na kinga ndan acha tu niwe muhuni ila kuuza mechi hapana. Mambo ni mengi mno kwenye hii generation yetu ambayo unajuana na mtu leo, unaanza mahusiano na kuyamaliza leo leo.
Kwanini?π€£π€£π€£ liongo wewe
Kama chai kunywa πCHAI π€£π€£π€£
Mzigo ulipiga kavu usituchoshe
Kawaida mkuuUpewe maua πΉ yako mkuu
Me nawapenda wanaume wanaokumbuka kutumia condom,Ukiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa πlote huku akishika π, nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba
Magonjwa kwa sasa ni mengi kwahiyo kinga ni muhimu na ina faida yake.Me nawapenda wanaume wanaokumbuka kutumia condom,
Kwanza nisivyopenda kumwagiwa mishahawa kwenye mwili wangu alooo condom lazima utavaa
Mie first half tu ningekuwa nishakamatika mkuu [emoji3] hongera kwa kushinda majaribuUkiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa [emoji527]lote huku akishika [emoji533], nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba
Mtihani huo niliushindwa mara moja tu, yule binti alikuwa mlaini balaa ila baada ya hapo bora nikose utelezi ila sio kuuza mechi.Mie first half tu ningekuwa nishakamatika mkuu [emoji3] hongera kwa kushinda majaribu
Pole Sana nusu albino, Sasa hapo mtoto Ange toka mweusi.Ukiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa πlote huku akishika π, nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba
π mi mweusi mkuuPole Sana nusu albino, Sasa hapo mtoto Ange toka mweusi.
πLazima tunge jua tuππ€£
Unakula pipi katika Ganda lake huu ni upuuzi hospital zipo kwaajiri ya niniHuwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom
Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ???
Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba sikuamini sababu sijui umekutana na wangapi na pia tunajiepusha na mimba zisizotarajiwa plus magonjwa ya zinaa.
Mwanamke ukikutana na mwanaume ambae anatumia kinga shukuru Mungu mana anajari afya yako na yake na sio kumlazimisha avue kisha yanafuata majuto.
Je wewe kijana mwenzangu ushawahi kukutana na mwanamke ambae anakuomba uvue kinga ili upige kavukavu na je uliuepuka vipi mtego huo ?
Tulia nusu albinoπ mi mweusi mkuu
Sema niliepuka mtegoTulia nusu albino
Nani mwingine anataka chai βοΈ nimwambie jirani yangu ammiminie π€£π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈUkiweza kujicontrol ni njema sana, niligombana na pisi tukapotezeana kama wiki 2, ghafla akanicheki anakuja gheto tumalize tofauti zetu na amenimisi sana, nikamkubalia kidume nikashangilia sana kupata uhakika wa kufunga goli.
Alifika mida ya saa 4 usiku tukaongea yakaisha, akaanza kusema leo anataka pipi bila maganda afeel joto la pipi ya nyama vizuri, Mr machale machale yakanicheza mbona leo imekuwa ghafla alafu kabla alikuwa hataki kavu kabisa?
Wasiwasi ndio akili nikagoma kupiga kavu na yeye akagoma kula pipi na ganda, masaa yakayoyoma nikalala, sijui aliamka saa ngapi bidada yule akazihamisha silaha nilipokuwa nimezihifadhi(alienda kuzificha chooni zote).
Kunakaribia kukucha saa 11 nkasogezewa πlote huku akishika π, nikamwambia ngoja nivae silaha, akakubali haraka akiwa anajua fika alichokifanya. Nikazikosa nikamuuliza akasema hajagusa chochote. Akaniambia kwani uniamini si tufanye hivi hivi kuna shida gani? (hii siku nilishinda vita na kichwa cha chini). Nikamkatalia katu katu akaanza kulia kuwa simuamini na simjali, kweli sikujali licha ya kulia karibia lisaa lizima huku akinibembeleza. Mpaka kunakucha inafika saa mbili kasoro hakikufanyika chochote.
Baada ya kuondoka akakata mawasiliano, nakuja kukutana na room mate wake nikamuulizia akaniambia mbona na chuo kaacha muda baada ya kupata mimba. Alipojua kuwa nimejua ana mimba akanitafuta nikamuuliza vimaswali vya kimtego nikaunganisha dots nikabaini kipindi kile ule ulikuwa ni mtego, ningejaa ningebebeshwa jukumu.
Kinga ni bora kuliko tiba
Jirani unataka kusema nilikula?Nani mwingine anataka chai βοΈ nimwambie jirani yangu ammiminie π€£π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈ