Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

Kiasili wanawake wanataka mwanaume dikteta, wao kutawaliwa ujisikia amani na salama zaidi, kuliko demekrasia. Shida huja kwenye malezi, dikteta ni mtu anaetumia nguvu nyingi akili kidogo. SAsa sababu ya malezi hili jambo huwa gumu umelelewa kwenye malezi ya maadili maadili ni matumizi ya akili kuliko nguvu, utaanzaje kumfanyia udikteta mwanamke hali ukupa malezi ya kidikteta.
Tusimamie Asili
 
Mungu awabariki wanaume wote ambao mna misimamo ya kiume, tunawapenda sana huu ndiyo ukhalisia..!!

Wanaume wengi mno nowadays hawana tena ile 'manhood' ndani yao, simping culture imewaharibu mno..!!

Carlos usiache kuwaambia ukweli tafadhali inaweza ikawashtua toka kwenye huo usingizi wa pono..!!

Nina hiyo kifaa yangu kwanza akiongea tu kwa mamlaka natii huku inani turn on..!!

Kuweni wanaume bhana, msikimbie nafasi zenu hebu, mnaboa..!!
Jamaa Sijui wamekuaje yaan !!
 
Ukiona mwanaume anashadadia msimamo wa "kataa ndoa" ujuwe hana uwezo wa kuishi na mwanamke. Perfect!
Anaekataa ndoa pia anapinga maagizo yaliyoandikwa kwenye vitabu vya dini
 
Back
Top Bottom