Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

Huenda Mzee mwenye muembe ni mkali sana au Mchawi[emoji23]
 
3. Au manyigu yamejenga humu mtini.
 
Kwahiyo tuliofika age ya juu kama 30 nakuendelea tusiolewe? Acha hizo wewe usitubanie.
 
Ha ha ukiwa naye ndo utajua kwann umemkuta single [emoji1][emoji1]
 
Mwaka fulani nilirudi mtaani baada ya miaka kadhaa ya kupambania kombe ughaibuni, pale mtaani kulikuwa na zigo hilo balaa,, zigo zigo kweli, la kuvunja chaga la makamo hivi, nilipoulizia kali nikaambia halina mtu,, wakati najipanga ili nitupe karata yangu kuna mwana mmoja wa kuheshimika pale kitaa akanisanua ya kuwa lile zigo kumbe ni TSS na lipo pale mtaani kwa misheni maalum,, basi nyeg^#e zote zikanishuka
 
We ndio hujui,sisi tulikuwa tunakula yale ya ndani,unapanda unakula hukohuko juu,mengine unang'atia mtini baada ya siku kadhaa linaiva
 
Una point nzuri.

BTW,: nilitaka nikupe dada yangu sema nae ni mtu wa makamo Mkuu.
 
Mimi mwembe wangu unaisha maembe yakiwa machanga nimechoka kukemea na kufukuza watoto watukutu wasiyapopoe, mwaka wa pili sasa maembe hayakomai na kuivia mtini yanaliwa hivyo hivyo na uchanga wake.
 
Hivi na yale mapapai na mapera yanayoivia mtini na kuliwa na ndege tu wakati wapangaji wapo wanaogopa nini kuyala? Au wanamuogopa mwenye nyumba wakiyala watapandishiwa kodi? Inatia huruma sana matunda kuivia mtini hakuna mtu wa kuyala ni ndege tu wanayafaidi.
 
Labda huyo mtu wa makamo ina misimamo migumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…