SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Kwamba TISS wenyewe hawapelekewi moto?Mwaka fulani nilirudi mtaani baada ya miaka kadhaa ya kupambania kombe ughaibuni, pale mtaani kulikuwa na zigo hilo balaa,, zigo zigo kweli, la kuvunja chaga la makamo hivi, nilipoulizia kali nikaambia halina mtu,, wakati najipanga ili nitupe karata yangu kuna mwana mmoja wa kuheshimika pale kitaa akanisanua ya kuwa lile zigo kumbe ni TSS na lipo pale mtaani kwa misheni maalum,, basi nyeg^#e zote zikanishuka
Ushaambiwa na wakulungwa wa mtaa kaja kwa ajili ya misheni maalum, so wana maana yao kulileta zigo kama lile,,, ukijitia wewe kibor##o dinda unaweza ukamsaidia ushahidi kwenye hiyo misheni yake, simaanishi kwamba TSS hawapigwi mshipa,,, ni kama alivyosema mleta uzi, ukimuona demu wa makamo yupo yupo tu mtaani kabla ya kumtokea fikiri kwanza ikiwezekana uliza wandewa wa kitaa ,,,,Kwamba TISS wenyewe hawapelekewi moto?
Miembe mingine inanyoka unapanda unakutana na nyoka mwenye makengeza hakuna rangi utaacha kuonaWe ndio hujui,sisi tulikuwa tunakula yale ya ndani,unapanda unakula hukohuko juu,mengine unang'atia mtini baada ya siku kadhaa linaiva
Naona unajifariji ewe mtu wa makamo. Mwenyezi Mungu akutie nguvu.Kwenye maembe sawa, lakini kwenye mahusiano umebugi step,
Siyo lazima mtu kuoa/kuolewa kwa sababu haya ni maamuzi binafsi.
Hakuna aliewai kuripotiwa kupata tatizo la akili kwa sababu hakuwa ameoa/ kuolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivo kuna jambo! Gusa uone! Unaota unapelekewa ....Hivi na yale mapapai na mapera yanayoivia mtini na kuliwa na ndege tu wakati wapangaji wapo wanaogopa nini kuyala? Au wanamuogopa mwenye nyumba wakiyala watapandishiwa kodi? Inatia huruma sana matunda kuivia mtini hakuna mtu wa kuyala ni ndege tu wanayafaidi.
OoohUna point nzuri.
BTW,: nilitaka nikupe dada yangu sema nae ni mtu wa makamo Mkuu.
Kweli master, tushapata mwanga sasa, hatutaparamia tena miti ya sampo hiyo…Next time tuwe makini.
Yaan siku hizi hakuna maadili kabisa. Mpk raia mnajua huyu ni TISS na yuko kwa mission maalum? Si tatizo hili?Mwaka fulani nilirudi mtaani baada ya miaka kadhaa ya kupambania kombe ughaibuni, pale mtaani kulikuwa na zigo hilo balaa,, zigo zigo kweli, la kuvunja chaga la makamo hivi, nilipoulizia kali nikaambia halina mtu,, wakati najipanga ili nitupe karata yangu kuna mwana mmoja wa kuheshimika pale kitaa akanisanua ya kuwa lile zigo kumbe ni TSS na lipo pale mtaani kwa misheni maalum,, basi nyeg^#e zote zikanishuka
Kwa hiyo raia kumtambua mtu kuwa TISS ndo kukosa maadili? Hebu nijuze, apo asiyekuwa na maadili ni nani raia au huyo TISS? Na kama raia kosa lake hapa liko wapi mpaka ionekane hana maadiliYaan siku hizi hakuna maadili kabisa. Mpk raia mnajua huyu ni TISS na yuko kwa mission maalum? Si tatizo hili?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
hakuna time limit ya kuoa au kuolewa....hatuoi wala kuolewa muda ukifika, instead tunaoa na kuolewa kwa the right person...kuoa na kuolewa sio mchezo wa bahati nasibuKitendo cha kutoolewa au kuoa hadi makamo yasogee lazima kuwepo sababu!
Rai yangu ni lazima kuwepo tafakari ya kina watu wanaoingia kwenye hayo mahusiano!
Mzee ujumbe wako ni mkubwa SanaUkiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili;
1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi
2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi!
Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona Mrembo/Mkaka wa makamo Ambaye hajaolewa/oa Usikurupuke kuingia kichwa kichwa lipo jambo!
Vuta subira!
Tambua kwamba kama kwa jirani Maembe kama hayo yanaliwa na chumvi yakiwa machanga! Iweje Hayo yakomae yakiwa mtini?
Umeona Sasa ndo ukaelewa kwann ulimkuta singleMimi wakati naishi Mwanza,,nilibaatika kupata demu pale mtaa wa Rufiji,,yule demu alikuwa kaunta wa bar,, alikuwa chombo kweli Sasa tatizo akinywa bia moja tu lazima godoro muanike
[emoji23][emoji23][emoji23], Kitu kizito kinatua kichwani.Kuna watu huingia kichwa kichwa wanakutana na kitu kizito
Binti wa makamo??.Huyo ni mama yako mdogoMaembe ni maembe na mtu wa makamo ni wa makamo, Tusitishane[emoji23][emoji23][emoji23], ndiyo namtumia sms hapa huyu binti wa makamo[emoji23][emoji23]
Utakuwa mhusikaKwenye maembe sawa, lakini kwenye mahusiano umebugi step,
Siyo lazima mtu kuoa/kuolewa kwa sababu haya ni maamuzi binafsi.
Hakuna aliewai kuripotiwa kupata tatizo la akili kwa sababu hakuwa ameoa/ kuolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na adabu hujui kwamba mtoto kwa mama Hakui?Binti wa makamo??.Huyo ni mama yako mdogo
Ni maoni yake yaheshimiweUtakuwa mhusika
[emoji23][emoji23]Maembe ni maembe na mtu wa makamo ni wa makamo, Tusitishane[emoji23][emoji23][emoji23], ndiyo namtumia sms hapa huyu binti wa makamo[emoji23][emoji23]
Pole dear[emoji23][emoji23]