Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

Sheria Tanzania imechezewa sana ndio maana tunabaki kulipa makampuni ya Nje kwa kesi za kijinga hakuna kitu cha maana wanaweza kusimamia..
 
Ni upuuzi mtupu. Alafu mijaji inawaza mishahara, maposho na kuteuliwa kwenye matume tu.
 
Dah
Ukiwa na uchungu na Taifa hili,
Na kwa comments hizi zilivyoandikwa kwa uchungu,
Lazima utokwe machozi!
[emoji24]
 
Demokrasia sio asili yetu imeletwa tu huku ili tuwajibike iondolewe hatuitaki.
 
Taifa hili linatoa machozi hakika
Tatizo letu watanzania wa kawaida hatuoni umuhimu wa kufuatilia siasa ambayo bila shaka ndiyo ina-shape maisha yetu. Ukiacha watu wachache wanojitambua na kutambua haki zao, wengi wetu hatuna habari kabisa na masuala ya kisiasa nchini na kwa kulitambua hilo watwala wamekuwa wakitumia udhaifu kuendelea kutawala bila wasi wasi.
 
Ni ujinga ndo umetawala.
 
Jibu swali uliloulizwa?
Mimi nina elimu hata wazazi wako hawajawahi kufika ,nataka nikutoe ujinga sio kukariri.

Ongelea uhalisia unafuatilia ya nje wakati wewe ni mweusi mpaka kwenye makalio .. Endelea kuota 🤣🤣
 
Nasikitika kukuita mjinga.

Uhalisia gani unaoongelea? Kuwa mweusi ndo kuwa mjinga? Kwa hiyo kuelelezo cha ujinga ni kuwa mweusi?
 
Kivipi Katiba inahusika hapa Mkuu?, tatizo letu Tanzania halijawahi kuwa Katiba iliyopo.

Tatizo letu ni hatuheshimu Katiba na sheria zetu tulizojiwekea sisi wenyewe.
 
Back
Top Bottom