Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

Amefire ma judge wa chini, immigration judges, but supreme judges hawez na ndio hao wako against na wanataka kuwajibika
Huyu mjinga hajui hata anachokisema. Na wanachoweza kufanya ni kuomba awe impeached suala ambalo limefeli maana Jaji Mkuu amemwambia kama hujalizika na uamuzi wa Jaji mmoja taratibu sio kuomba awe impeached bali kukata rufaa juu ya uamuzi wake au kuomba mapitio.
 
Ni kitu Cha ajabu eti muhimili mwingine Tena wenye kiongozi wake kama jaji mkuu, unakuwa una hafla ya uzinduzi wa mahakama badala jaji mkuu ndiyo awe mgeni rasmi eti wanaenda kumtafuta kiongozi wa muhimili mwingine ndo aje kuzindua tukio lao, Sasa hapo unategemea huu muhimili wa mahakama utaweza kusimamia na kuonya pale muhimili mwingine unapokengeuka?
Head of State ni sawa na Head of Judiciary? Labda mimi ndo sielewi?
 
Head of State ni sawa na Head of Judiciary? Labda mimi ndo sielewi?
Three pillars of state
1. Executive
2.Judiciary
3. Legislative/Parliament
Hiyo ya kwanza ni President, ya pili ni Chief Justice ya tatu Speaker, Kila muhimili unapaswa kuwa huru katika utendaji wake ili kuleta utawala Bora, haipaswi shughuli za muhimili mmoja uingilie au kuwa na influence ya shughuli za muhimili mwingine, ndo maana tunataka katiba mpya
 
Kama hizo 3 zinaunda State, head of state ni yupi? Na ana nguvu sawa hao wengine?! Nahisi kuna tofauti kati ya Mkuu wa nchi na Kiongozi wa Serikali Kitaifa
 
Kama hizo 3 zinaunda State, head of state ni yupi? Na ana nguvu sawa hao wengine?! Nahisi kuna tofauti kati ya Mkuu wa nchi na Kiongozi wa Serikali Kitaifa
Mara nyingi Rais ndo anaitwa head of state Kwa sababu yeye Huwa ndo analiwakilisha taifa mara nyingi huko nje kwenye mataifa ya kigeni, lakini hii haimaanishi kuwa anatakiwa kuingilia mihimili mingine, shida ya hapa kwetu hatuna kitu kinaitwa principle of check and balance katika mihimili hii, kitu Cha kushangaza Rais badala ya kum nominate chief justice hapa kwetu anam appoint, yaani anamchagua na hapo hapo anakuwa jaji mkuu badala alitakiwa ampendekeze vikao vya bunge vikae vimpitishe au vimkatae unakuta anachaguliwa na Rais na anaweza kufukuzwa muda wowote na Rais, kwahiyo hawezi kufanya kitu kinaitwa check and balance
 
Kiufupi hapa kwetu Rais anakuwa more dominant and powerful kwasababu hii mihimili mingine ipo toothless kwake yeye
 
Mara nyingi Rais ndo anaitwa head of state Kwa sababu yeye Huwa ndo analiwakilisha taifa mara nyingi huko nje kwenye mataifa ya kigeni, lakini hii haimaanishi kuwa anatakiwa kuingilia mihimili mingine, shida ya hapa kwetu hatuna kitu kinaitwa principle of check and balance katika mihimili hii, kitu Cha kushangaza Rais badala ya kum nominate chief justice hapa kwetu anam appoint, yaani anamchagua na hapo hapo anakuwa jaji mkuu badala alitakiwa ampendekeze vikao vya bunge vikae vimpitishe au vimkatae unakuta anachaguliwa na Rais na anaweza kufukuzwa muda wowote na Rais, kwahiyo hawezi kufanya kitu kinaitwa check and balance
Sahihi. Labda siyo kumnominate anatakiwa kum endorse, mambo mengine ya interviews, vetting yashafanyika nyuma ya pazia.
 
Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote

Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki.

Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya Watawala hayatumiwi ndivyo sivyo.

Ushahidi wa Unyeti huo wa Mhimili wa Mahakama tunauona sasa ambavyo Majaji wa Mahakama za Marekani wanamfundisha Rais Donald Trump namna ya kuheshimu Sheria, Haki na Mipaka yake.

Ushahidi wa Unyeti wa Mhimili wa Mahakama tunauona namna Mahakama ilivyohakikisha Rais wa Korea Kusini anaondolewa madarakani kwa kukiuka Katiba.

Wakati tukiona hayo kwenye mataifa yaliyo mbele kiuchumi huku kwetu hali ni tofauti. Huku kwetu Majaji ni watu wa kujipendekeza kwa Watawala. Wasiojua hata unyeti wa mamlaka yao.

Huku kwetu tunaona kwaya ya Mahakama ikiimba kwenye uzinduzi wa Majengo yao huku wakiinua mabango ya Rais. Watumishi wa Mahakama wanaimba nyimbo za kumsifia Rais alafu alafu majaji wanaaamka na kucheza kuwaunga mkono pamoja na kuwapa fedha.

Kusema kweli Tanzania tupambanie sana Katiba Mpya maana hii Katiba imefanya tuwe na watu wajinga na wapumbavu sana nchini.

Lord Denning
Ukonga.

View attachment 3293968View attachment 3293969
Hujawahi kuwa na akili, umeandika nini hapo? Nakuonea huruma
 
Back
Top Bottom