Ukiona umefikia stage hii umekwisha

Ukiona umefikia stage hii umekwisha

Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya.

Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe.

1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe ukifiwa. Umekwisha
2. Ukikopa ili kulipa mkopo. Umekwisha
3. Ukifanya harusi kwa pesa ya mkopo umekwisha. Hiyo ndoa yako haitoboi, jiandae kwa msoto.
4. Una familia na huna akiba mahali popote. Umekwisha
Ukiwa na akili kama za mtoa posti nawe umekwisha 🙌
 
Nadhani hiyo ni theory, tofauti kabisa na practical, unaweza ukawa na hivyo bado maisha yakawa magumu tu
 
Back
Top Bottom