Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .
2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora
5. Wilbroad Slaa
Msema kweli
6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi
Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .