- Thread starter
- #101
BeberuHivi hii "vita ya kiuchumi" adui yetu huwa ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BeberuHivi hii "vita ya kiuchumi" adui yetu huwa ni nani?
Uko sawaHabari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .
2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora
5. Wilbroad Slaa
Msema kweli
6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi
Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Hapo namba 3 na namba 6 hapana, hakuna mtu wa hovyo kama TL na hakuna mtu muongo kama KMHabari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .
Mfano wao ni kama wafuatao :-
1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .
2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali
3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo
4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora
5. Wilbroad Slaa
Msema kweli
6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi
Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Ujue una shida 🤣🤣🤣🤣🤣Hapo namba 3 na namba 6 hapana, hakuna mtu wa hovyo kama TL na hakuna mtu muongo kama KM