Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .

Mfano wao ni kama wafuatao :-

1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .

2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali

3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo

4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora

5. Wilbroad Slaa
Msema kweli

6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi

Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Una akili za kushikiwa.
 
Uko sawa ila sio kwa antipass lissu. Huyo ni mtu mbishi wa kila kitu. Kazaliwa kupinga tu na recently anaunga mkono ushoga.
 
Kwa hulka alizokuwa nazo Bwana JIWE kwa kwel hata siku ya ufufuo asifufuliwe kbsa....
 
Wao wenyewe kwa nyakati tofauti waliwahi kuchukiana.

Wao kwanza waanze kujitathimini.
 
Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .

Mfano wao ni kama wafuatao :-

1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .

2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali

3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo

4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora

5. Wilbroad Slaa
Msema kweli

6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi

Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Siku nyingine ukitaka kumsifia unaempenda jitahidi uje kwakuuliza swali siokulazimisha watu kama unawamiliki wewe mungu haonekani lakini analaumiwa itakuwa hawa viongozi wenye tamaa na visasi ambao kwao mawazo mbadala kwao niuadui jifunze sana ukichefua watu tunachefuana
 
Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .

Mfano wao ni kama wafuatao :-

1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .

2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali

3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo

4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora

5. Wilbroad Slaa
Msema kweli

6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi

Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
hapo 1.Nyerere
2.mbowe
3.mwinyi
4.Lissu
5.Slaa(wa zaman)
NB:MARUFUKU kumuweka jeipiemu
 
Mamba 1, ndio mtu shujaa pekee
aliyekuwa na mapenzi ya dhati kwa nchi yake na kwa watanzania wenzake kiasi cha kuto thamini maisha yake.
Na hakuwa mbinafsi.
Magufuli anajenga International airport na referral hospital kijijini kwake na mbuga ya wanyama bado unasema hakuwa mbinafsi??

Magufuli anaua wananchi wake, anapiga risasi wakosoaji, ananyima maendeleo majimbo yaliyokuwa chini ya upinzani bado unasema alikuwa na mapenzi ya dhati kwa wananchi??

Kweli siyo kila mwenye kichwa ana ubongo, wengine kama Liwagu vichwa vyenu vimejaa kamasi tu!!
 
Toka humu jf uliza wananchi kumi unaowaona mbeleyako wakupe maoniyao juu ya utawala wa Magu,
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Wanaosifu wauwaji wa wanaotofautiana nao kimawazo tabia ya wivu kuzulumu kuwa mwongo na mkabila kunaondoa sifa unazotamani wasiokuwepo wawe nazo Hafai hata ukimpamba kwa dhahabu. Alikuwa hai yaani
Karibu mgeni
 
Hivi hii "vita ya kiuchumi" adui yetu huwa ni nani?
- Yeyote aliyekuwa na mawazo chanya, hasa yaliyokinzana na mawazo au mtamo au fikra za 'Mwenyekiti', Huyo tayari alihesabika adui. Na mifano hai ni mingi.
 
Toka humu jf uliza wananchi kumi unaowaona mbeleyako wakupe maoniyao juu ya utawala wa Magu,
Kwanini niulize wananchi wakati namfahamu Magufuli kuanzia anasoma Mkwawa Secondary School mwaka 1980?

Kwa nini niwaulize wananchi wakati najuwa UFISADI wote wa Magufuli kuanzia mwaka 2000 akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi chini ya Anna mke wa Msekwa??

Magufuli alijuwa kuwa anatawala Watanzania wajinga zaidi ya 90%, hivyo akatishia free press na akahakikisha propaganda zake ndiyo zinapandikizwa kwa hao wajinga.

Kamwe siwezi kuwauliza wajinga kuhusu whether Magufuli alikuwa ni kiongozi mwema na shujaa kwa vile najuwa Magufuli alikuwa kiongozi mwizi, mwongo, muuaji na DIKTETA
 
Back
Top Bottom