Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

Ukiona unawachukia wanasiasa hawa, inabidi ujitathmini sana

Majaliwa labda yule muokoaji ajali ya ndege, huyu wa sa100 kawa urojo kama bosi wake!.
Sawa tu na mbwa koko.
 
Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .

Mfano wao ni kama wafuatao :-

1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .

2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali

3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo

4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora

5. Wilbroad Slaa
Msema kweli

6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi

Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Uko sawa
1. JK Nyerere Burito
2. Edward Moringe Sokoine
3. Dr JP Magufuli
4. Benjamin William Mkpa
5. Kassimu Majaliwa
6. Rashid Mfaume Kawawa
7. Dr Omar Ally Juma
8. Sheikh Abeid Amani Karume
9. Chacha Wangwe
10. Dr. Senkondo Mvungi
11. Jaji Joseph Sinde Warioba
12. Bibi Titi Mohamed Salum Mandangwa
13.Maalim Seif Sharif Hamad
14. Samwel Sitta
 
Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya hivyo ,Watu hawa huwezi wachukia hata wawe na mapungufu mengine .

Mfano wao ni kama wafuatao :-

1. Hayati JPM
Alipigana vita ya kiuchumi ambayo ni watu wachache sana wanaweza kujitoa .

2. Hayati Mwalimu Julius Nyerere .
Pamoja na kuwa kwenye Nafasi nzuri hakujilimbikizia Mali

3. Tundu Antipas Lissu
Jasiri na Mwenye msimamo

4. Rais Hussein Mwinyi
Kiongozi Bora

5. Wilbroad Slaa
Msema kweli

6. Kassim Majaliwa
Mzalendo na Mchapakazi

Hawa watu ukiona Hata mmoja wao unamchukia basi huenda una shida sehemu Jitathmini .
Hapo namba 3 na namba 6 hapana, hakuna mtu wa hovyo kama TL na hakuna mtu muongo kama KM
 
Back
Top Bottom