Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

[emoji3][emoji3] mnafanya maisha magumu !! Barua zetu ofisini mnazikataa, biashara hamtuungishi ona sasa mmegeukia na kwenye memes !! [emoji3] whatsapp status ni sehemu ya kufurahia
Nani kaoa au kaolewa! Msiba , nani kajenga !!
 
Kuview status ni burudani tosha,sio kwamba hawaangalii bali wameficha kuwaona wakiangalia
 
Nawapenda sana wapost memes, bad luck nina wawili tu…
Mmoja anamix nguo zake anazouza na memes…

Mmoja mpaka ajisikie sasa dah! Carleen
Haha..!
Nilikuwa mpost memes maarufu, on my birthday watu wakanisimanga kwamba sasa nimekuwa nitafute mume niolewe niachane na habari za memes,
Nami nikawaahidi kuwa nitabadilika, sitawaangusha.!!
 
Hivi nawaona vp walioview status yangu?!!!

Sorry, mi mgeni mjini hapa!
 
Kuna huyo mmoja ilikua kila ikifika alhamis anajipost tbt picha nyingiiiiii 10+ hapo bado siku zingine memes 20+ sasa picha zinajirudia hadi unawaza kwani lazima kujipost??
Nikapata tu mashaka ikabidi nifute no zake maana sikumuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsanteeeeh
 
Haha..!
Nilikuwa mpost memes maarufu, on my birthday watu wakanisimanga kwamba sasa nimekuwa nitafute mume niolewe niachane na habari za memes,
Nami nikawaahidi kuwa nitabadilika, sitawaangusha.!!
😂😂😂😂 masimango hayaui bana, kazi za memes na ziendelee
 
Miezi imekata na walasijaweka kitu kwenye stutus na Wala cpendi kuview status za watu isipo kuwa demu huwa nwmuwunda kumla tu ndio nitacheki lkn wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…