Ukiondoa tabia ya kuwarubuni wabunge wa CHADEMA wahamie CCM, Dkt. Bashiru ni kiongozi makini na mjamaa

Wapiga vigelegele bado wapo? Ina maana mpaka sasa hawajaona mapungufu makubwa ya kiuongozi aliyoyafanya mwendazake? Mwenda zake badala ya kuliunganisha Taifa yeye alikuwa ameligawa kwenye vipande vidogovidogo mithili ya chupa iloanguka toka juu ya ghorofa mpaka chini kwenye jiwe gumu matokeo yake baadhi ya hivo vipande vimejificha ambapo ni hatari kwa afya ya Taifa hapo baadae
 
Mkuu you are beating a dead horse!
 
Kati ya watu waliopata hasara kuhama CHADEMA ni Dr. Mashinji. Mpaka sasa hajalambishwa cheo chochote tangu atie nia.
 
eeeehh

hapo kwa Bashiru na jiwe ni mtazamo wako Ila kumuweka hapo Nyerere ni kukosa adabu na heshima

Nyerere alikuwa kiongozi aliyependa haki na amani si vema kumfananisha...na hao.

Asante
 
bashiru ni mwanasiasa mpuuzi sana. namshangaa mama kampa hata huo ubunge.a alitakiwa arudishwe chuoni akasome.
 
Huyo Mrundi Bashiru ndiye alikuwa anaandaliwa na Mwendazake kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2025. Yaani kweli hicho kiazi ndiyo cha kuwa Rais wa Tanzania? Alipoona yeye amepata kuwa Rais kwa sababu ya misuguanao ya JK na Lowassa mwaka 2015, akaona ngoja atuletee Mrundi mwingine.

Ila Mungu anajuwa kuchukua hatua. Kwanza kapeleka Jehanam roho ya Mwendazake, huyu naye Bashiru anasubiria ripoti yake ya uchotaji fedha za BOT akiwa mbunge wa viti maalum
 
nampigia upatu mhe Nape atafaa sana kwa sasa kuwa katibu mkuu wa CCM na ana nguvu ya ushawishi
 
Nafurahi kuona vibarua wote mmelipwa posho ya March hakuna deni tena, ngoja mzigo ukate na uchelewe kulipwa tena posho ya April hatutaacha kuona rangi yako.
Hahahaaaa...... Kesho CCM inazaliwa upya wabunge 20 wa Chadema kuhudhuria mkutano mkuu!
 
Akishakuwa Katibu mkuu familia yako itanufaikaje?
kwani wewe chama cha familia hukijui kilianza na Mtei na sasa Mbowe aliyerithi kutoka kwa baba mkwe wake?
CCM sio chama cha familia, ukanda wala ukabila
 
Asante kumpigia kampeni za uteuzi kurudishwa chamani ukatibu mkuu sawa nitafikiria
 
Hafai hasa kwa nafasi ya KM sababu he is too robot, hajui chama na hajui kinafanyaje kazi from the grassroot, Yeye na mwendazake wamepitisha vijipolicy vya ajabu vimepelekea maumivu na ufukara hata kwa watumishi wa chama, Mfano ni makusanyo kuhamia acc moja ya makao makuu. Huyo polepole ndio hamna kitu anajisifia viongozi wa wilaya na mikoa kuwa na toyota hardtop hajui hata mafuta wanapata vipi, bure kabisa waondolewe wote wapewe wana CCM chama chao.
 
Yani ccm ya hapa kazi tu imejaa wagonjwa wa akili kma mwendazake,kaokota watu vijiweni kawapa vyeo ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…