Ukiondoa tabia ya kuwarubuni wabunge wa CHADEMA wahamie CCM, Dkt. Bashiru ni kiongozi makini na mjamaa

Mnafiq mkubwa huyu hafai kabisa!
 
CCM hawamtaki kisa eti hakuwa mwanachama kindakindani na hajakulia huko, na alikuwa CUF. Ila jamaa ukimsikiliza anaonekana ni Mzalendo Sana, sema ndo hivo majizi ya CCM hayamtaki
Binafsi namkubali Bashiru sana, nafatilia mikutano huko Dodoma simuoni kwakweli..!! Hali hii inanitisha sana kias nawaza pale CCM akitoka Bashiru akatoka Mangula si ndiyo basi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana Umakini wowote angekuwa Makini asingefanya biashara ya Kijinga ya kununua Wabunge wa upinzani
 
Hivi haya maneno yapo kwenye kamusi ya matusi? : Murundi
: mbunge wa viti maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…