Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio yake basi haraka huamua kujisifu ili kuongeza kitisho kama ilivofanya siku alipokufa Ismail Haniye na Alshukr.Lakini kwa hili shambulio la Lebanon japo limeonekana ni shambulio kubwa sana na la kisayansi lakini wenyewe wameamua kukaa kimya kutokana na aibu iliyowapata
Mashirika kadhaa ya kimataifa yametoa lawama wazi wazi wakilaumu shambulio hilo na wengine kusema ni sahambulio la kigaidi kwani limeuwa na kuumiza watu kadhaa wasiohusika.
Aibu zaidi ya shambulio hilo na kuonesha kufeli kinyume na kutaka kuonesha mafanikio makubwa ni kwamba watu waliokufa pamoja na wanachama wa Hizbullah hawajafika 100 na kwamba Hizbullah bado imeonekana kuwa na uwezo wa kurusha makombora mazito ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa ikiwemo kukata umeme baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini.
Kwa ujumla ujumbe unaoweza kupatikana kupitia shambulio hilo ni kuwa Israel imeanza kuchoka na kukata tamaa kupambana na maadui zake kwa njia za kawaida achilia mbali kuheshimu matamko ya kimataifa kuhusu vita.
Wako wanaojiuliza jee Israel imeishiwa na mbinu na silaha za kawaida kuendeleza vita na watu ambao imekuwa ikiwakandamiza kwa miaka mingi ?.
Aibu ninayoizungumzia hata UN wameiona