Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Lakini ukiondoa wale wa upande wapili timu inaendelea kukiwasha.
wanaita mchezaji anayekaa benchi yanga kisa mzanzibar mwenzake.Binafsi nimeshangaa sana viungo wawili wakabaji wa Azam Fc Yahaya Zaid na Adolf Mutasingwa kuachwa kwenye kikosi cha CHAN.
Bacca?Hawa ndio key Players
Mohammed Hussein (Yanga)
Job Dickson (Yanga)
Mudathir (Yanga)
Mzize (Yanga)
Kapombe (Simba)
Feisal (Azam)
Kanywa boha huyo bila shaka.Bacca?
Unajifanya special sana,haya sasa ukiondoa ccm siasa zinapwayaLakini ukiondoa wale wa upande wapili timu inaendelea kukiwasha.
Unafeli wapi Kijana au ndio akili ime lose? 😂😂😂Lakini ukiondoa wale wa upande wapili timu inaendelea kukiwasha.
Dogo anaonekana ana shida mahali na unaweza ukakuta ni graduate huyu lakini ana maandiko ya hovyo hovyo sanaUnajifanya special sana,haya sasa ukiondoa ccm siasa zinapwaya
Hili ni tatizo. Timu ya Taifa inatakiwa kujengwa na wachezaji wenye uwezo na pia sifa ya kuipambania nchi. Na siyo kwa sababu nyingine yoyote ile.wanaita mchezaji anayekaa benchi yanga kisa mzanzibar mwenzake.